- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SEREKALI YATOA MAAGIZO KWA MAAFISA MADINI WASIO WAADILIFU
NAIBU Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo ameagiza maafisa Madini nchini (RMO) kuhakikisha mialo yote inayoosha udongo wa dhahabu inasajiliwa na kutambulika ikiwemo kusimamiwa.Naibu Waziri wa Madini Sta
NEWS: DKT. NDUGULILE ATAKA MABORESHO YA MIFUMO YA TAKWIMU
ARUSHA; Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile ametaka maboresho ya mifumo ya takwimu za tafiti mbalimbali zinazofanyika nchini.Dkt. Ndugulile amesem
NEWS: CHINA YALAANI KIONGOZI WA MAANDAMANO HONG KONG KUZURU UJERUMANI
China imelaani vikali hatua ya Ujerumani kumruhusu mwanaharakati wa Hong Kong Joshua Wong kuzuru nchini Ujerumani. Katika tamko lake wizara ya mambo ya nje ya China imesema nchi hiyo haikuridhishwa ha
NEWS: NAPE AMUOMBA MSAMAHA RAIS MAGUFULI KWA ALICHOMFANYIA
Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi Nape Nnauye(CCM) amejisalimisha kwa Rais Dk.John Magufuli kwa kwenda kumuomba msamaha kufuatia kuhusika kwake katika mazungumzo yasiyofaa dhidi ya Rais Magufuli.S
NEWS: KILICHOJIRI KESI YA ALIYEMUUA MKEWE KWA KUMCHOMA NA MOTO
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, leo Jumanne Septemba 10 imeendelea kusikiliza kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Khamis Saidy, anayekabiliwa na mashtaka ya kumuua na kisha kumch
NEWS: KOREA KASKAZINI YARUSHA MAKOMBORA MENGINE MAWILI
Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa Majirani zao Korea Kaskazini wamerusha vifaa viwili vya moto ambavyo havikutambuliwa mara moja na kuanguka katika baharini, na ni masaa machache baada ya nchi hiyo
NEWS: MGOMBEA UBUNGE CCM ANUSURIKA KIFO NA WATU WASIOJULIKANA
Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro kupitia chama cha Mapinduzi CCM kwenye uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Innocent Melleck amenusurika kifo mara baada ya kushambuliwa vibaya kwa
NEWS: RAIA 600 KURUDISHWA NIGERIA KUFUATIA VURUGU AFRIKA KUSINI
Serikali ya Nigeria imetangaza kuwarudisha nyumbani raia wake 600 kuanzia Jumatano, 11 Septemba. Uamuzi huo umechukuliwa na shirika la ndege la Air Peace kutoka Nigeria na kuungwa mkono na serikali ya
NEWS: SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM LAPOROMOKA TENA
Inaelezwa kuwa Biashara ya Hisa katika soko la Hisa la Dar es Salaam DSE imeporomoka pakubwa kwa wiki iliyopita baada ya kupungua kwa mauzo ya Hisa za Kampuni ya Bia nchini Tanzania TBL, ambayo ndio m
NEWS: WAZIRI LUKUVI AZINDUA ULIPAJI KODI YA ARDHI KWA AIRTEL MONEY
DODOMA: Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amezindua huduma ya ulipaji kodi ya pango la ardhi kwa kutumia mtandao wa simu ya mkononi kupitia Airtel Money.Uzinduzi wa ulipaji