Home | Terms & Conditions | Help

November 25, 2024, 10:28 pm

NEWS: MAHAKAMA YATENGUA ZUIO LA WAANDISHI KUTORIPOTI KESI ZA UGAIDI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, Leo Septemba 5, 2019 imetengua zuio la waandishi wa habari nchini kuripoti kesi za ugaidi na imeuagiza upande wa Jamhuri kukamilisha upelelezi kwa muda mfupi.

Pia imeushauri upande wa Jamhuri kama wanaona bado wanakwama kukamilisha upelelezi waachie washtakiwa wote kwenye kesi hiyo wakijikamilisha watawakamata tena.