- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SERIKALI HAITA WAFUMBIA MACHO WANAOFUJA MALI ZA UMMA
DODOMA: SERIKALI imesema kamwe haiwezi kuwafumbia macho watu ambao wamekuwa wakijihusisha na ubadhilifu wa mali ya Umma, wale watakao bainika watachukuliwa hatua kali za kisheria .Kauli hiyo imetolewa
NEWS: MWENGE WA UHURU KUTUA DODOMA
DODOMA: MWENGE wa uhuru umeingia leo Mkoani Dodoma ukitokea mkoani morogoro ambapo unatarajia kupitia jumla ya miradi 55 yenye thamani zaidi ya shilingi bilion 20.Mwenge huo umepokelewa katika kata
NEWS: WATUHUMIWA WA SAKATA LA ESCROW KUSOMEWA MASHTAKA LEO
DAR ES SALAAM: Taasisi ya Kupambana na Kuzuia na Rushwa (TAKUKURU) jana Juni 19, 2017 iliwafikisha mahakamani wafanyabiashara wawili James Rugemalira na Harbinde Seth watuhumiwa wawili wa kesi za ESCR
NEWS: MWANAFUNZI WA KIMAREKANI ALIYE ACHILIWA NA KOREA KUSINI AFARIKI DUNIA
MAREKANI : Otto Warmbier, mwanafunzi mwenye asili ya Marekani aliyekuwa na umri wa miaka ishirini na miwili, aliyerejeshwa nchini humo wiki iliyopita baada ya miezi kumi na mitano ya kushikiliwa nchin
NEWS: HECHE ATEMA CHECHE SIOGOPI KUKAMATWA
DODOMA: MBUNGE wa Tarime Vijijini Jonh Heche (Chadema) amesema kuwa yeye haogopi kuunganishwa na wananchi ambao ni wapiga kura wake waliovamia mgodi wa North Mara waliovamia mgodi huo kwa kuunga mkono
MAGAZETI: TUMEKUSOGEZEA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMANNE TAREHE 20 JUNE 2017
Miongoni mwa habari zilizopo katika magazeti ya leo ni pamoja na Rugemarila ,Singh watinga kizimbani, Kuna sakata la IPTL limekuwa Moto na katika michezo kigogo TRA Ajitosa urais TFF
NEWS: AJINYONGA JUU YA MTI KISA UGUMU WA MAISHA
SHINYANGA: kijana aitwaye Paulo Ezekiel (17) mkazi wa mtaa wa Mazinge kata ya Ndembezi Manispaa ya SHINYANGA alifariki dunia kwa kujinyonga na kamba juu ya mti jirani na nyumba yao. jana Jumapili Ju
NEWS: SERIKALI YAWATAKA KAMATI YA MISITU KUONGEZA JUHUDI
DODOMA: SERIKALI imeitaka kamati ya kitaifa ya ushauri wa masuala ya misitu nchini kusaidia kuongeza juhudi za kulinda raslimali za misitu hapa Nchini ili kuondokana na uvamizi wa maeneo ya misitu.Kau
NEWS: VIGOGO WA SAKATA LA ESCROW WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO
DAR ES SALAAM: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wafanyabiashara James Rugemarila na Harbinder Sethi kwa tuhuma za uhujumu uchumi
NEWS: KABUDI: 'HALI YA USAJILI NA TAKWIMU ZA NDOA NI MBAYA'
DODOMA: HALI ya usajili na takwimu za matukio ya vizazi,vifo ndoa na talaka nchini hairidhishi kutokana na takwimu za sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 zinaonyesha kuwa asilimia 13.4 ndio wamesaji