- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS : TANZANIA YAKOPESHWA MABILIONI YA FEDHA SEKTA YA UTALII
Dar es Salaam. Benki ya Dunia (WB) imeipatia Tanzania mkopo wa Dola za Marekani 150 milioni sawa na Sh336 bilioni kwa ajili ya kusaidia uhifadhi wa mazingira na kukuza utalii wa asili katika maeneo ya
NEWS: SABUBU YA TUKIO LA KUUWAWA WATU 50 LAS VEGAS
Las Vegas: Polisi nchini Marekani wanaendelea kutafuta sababu za msingi za Mtu mwenye silaha Stephen Paddock, 64, aliyefyatua risasi kutoka ghorofa ya 32 ya hoteli ya Mandalay Bay, kwenda kwa warsha m
MAKALA: JE, MAMA ANAYENYONYESHA MTOTOANAWEZA KUPATA MIMBA ?
Katika miezi sita ya mwanzo baada ya kujifungua, mwanamke anayenyonyesha mtoto anapata kinga ya mimba kwa asilimia kubwa. Lakini inabidi mama anyonyeshe mtoto kwa kipindi kirefu (muda wote mtoto awe
UTAFITI: DALILI 8 ZA KUGUNDUA HUYU MGONJWA AMEFARIKI.
Kumekua na ripoti nyingi na matukio ambayo inatokea mtu anazikwa kabla hajafa, hasa sehemu za vijijini sana ambapo hakuna madaktari au wahudumu wa afya. kwa sheria za tanzania, mgonjwa akifia hospi
NEWS: NASSARI, LEMA WALIAMSHA DUDE TAKUKURU.
Dar es Salaam. Wabunge wa Chadema, Joshua Nassari (Arumeru Mashariki), Godbless Lema (Arusha Mjini) na Mchungaji Peter Msigwa (Iringa Mjini) wamesema uchunguzi dhidi ya tuhuma za rushwa unaowakabili w
MAGAZETI: TUMEKUSONGEZEA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMANNE TAREHE 3 OKTOBA 2017
Habari ya Jumanne mtanzania kokote ulipo karibu tena kwa mara nyingine kwenye uwanja wa magazeti ya leo 3, 2017.
NEWS: ZAIDI YA WATU 50 WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI.
MAREKANI: Zaidi ya watu 50 wameuawa na takriban 200 kujeruhiwa kwenye ufyatuaji wa risasi wakati wa tamasha la muziki huko Las Vegas, Marekani.Mtu mwenye bunduki mwenye umri wa maiak 64 Stephen Paddoc
NEWS: TALGWU KUISHTAKI SERIKALI
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) kinatarajia kufungua kesi kuishtaki Serikali kwa madai ya kuwaondoa watumishi 2,115 kinyume na utaratibu. Kabla ya uamuzi huo, chama hicho kimeiom
NEWS: GAMBO: 'USIISHI MAISHA YA KULIA KILA SIKU'
ARUSHA: Mkuu wa Mkoa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kuwatia moyo Watu waache tabia ya kuishi katika maisha ya kulia kila siku bali wanapaswa waishi kwa furaha ili waweze kupata baraka za Mungu.
NEWS: SERIKALI KUBORESHA MRADI WA ELIMU YA UALIMU
DODOMA: Serikali inatarajia kutumia kiasi cha shilingi bilioni 168 katika kutekeleza mradi wa kuboresha Elimu ya Ualimu hapa nchini.Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Tekno