- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAVUNDE ATIA FORA MKUTANO MKUU CCM WILAYA.
DODOMA: Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde ameeleza mikakati iliyopo katika kukifanya Chama cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Dodoma kiweze kujitegemea kuwa ni mpango wa ujenzi wa jengo la ghorofa nan
BURUDANI: ''SHERIA ZITAENDELEA KUBORESHWA TASNIA YA UIGIZAJI'' - MWAKYEMBE
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mwakyembe amefunguka na kusema serikali itaendelea kuboresha Sheria, kanuni pamoja na kushirikiana na bodi ya filamu kuandaa mikataba bora itakayoongoza
NEWS: DEREVA WA LISSU AMWEKA NJIA PANDA IGP SIRRO.
DAR ES SALAAM: Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amesema wanaendelea na upelelezi wa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu.
NEWS: MRISHO GAMBO: 'LEMA ANAPOTEZA MUDA WAKE BURE'.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema anapaswa kutambua kuwa yeye kama Mkuu wa mkoa anajishughulisha na matatizo ya watu hivyo kama hatabadili aina
NEWS : WALIOFARIKI KWA GONGO WAFIKIA 10
Dar es Salaam. Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imesema idadi ya watu waliofariki dunia kwa kunywa kinywaji kinachosadikiwa kuwa gongo imefikia 10.Kamanda wa kanda hiyo, Lazaro Mambosasa amesema
BURUDANI : ZAIID ATOA NENO KWA WASANII
Rapper wa SSK, ZaiiD amewataka mashabiki kusikiliza muziki na siyo kusikilizishwa.ZaiiD amesema kuna stori za nje ya muziki ambazo huwa zinalazimisha mashabiki kusikiliza muziki wa wasanii fulani hivy
DODOMA: Makampuni, Madalali na Mawakala wa mamalaka ya usimamizi wa Bima (TIRA) nchini wameshauriwa kuendelea kutoa elimu ya bima ili kuwawezesha wananchi kuwa na ufahamu kuhusu umuhimu na maswala hay
NEWS: HUDUMA ZA AFYA ZAWALIZA WANANCHI WA LUGALA.
DODOMA: Wananchi wa kijiji cha Lugala nje kidogo ya mji wa Dodoma wameiomba serikali kuboresha utoaji hduma bora za Afya ili kupunguza vifo vya mama na mtoto ambapo kwa mujibu wa takwimu za muungano w
NEWS: JAFO AZIAGIZA HALMASHAURI KUZUIA UVUJAJI WA MAPATO
DODOMA: Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo amefanya ziara leo ya kukagua utekeleza wa maagizo ya serikali aliyoyatoa hivi karibuni katika Kituo c
NEWS: BABU AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA KWA KUMBAKA MJUU WAKE
Mbeya: Mzee mmoja kwa jina la Steven Petro (70) mkazi wa Kijiji cha Godima Wilaya ya Chunya mkoani mbeya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 Jela baada ya mahakama ya wilaya hiyo kumtia hatiani kwa k