- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
SPORTS NEWS : LIGI KUU BARA KUENDELEA LEO VIWANJANI
Baada ya jana kuwapo kwa mchezo mmoja wa Ligi kuu bara,ambapo Mbao fc ikiwa Nyumbani iliambulia sare ya 2-2 dhidi ya Mbeya,leo ligi hiyo inaendelea kwaq michezo kadhaa kama inavyoonesha chiniMechi hiz
NEWS: PINGAMIZI LA SCORPION LATUPWA.
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imetupilia mbali pingamizi la kutopokea maelezo, lililowekwa na upande wa utetezi kwenye kesi ndogo ndani ya ile ya msingi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, inayomhus
NEWS: JAMII YATAKIWA KUMUENZI HAYATI MWALIMU NYERERE KWA VITENDO.
DODOMA: Watanzania mkoani Dodoma wameungana katika kuadhimisha kumbukizi ya miaka 18 ya kifo cha Rais mstaafu wa awamu ya kwanza Hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere huku jamii ikitakiwa kuenzi kwa
SPORTS NEWS : LIVERPOOL vs MANCHESTER UNITED NI KISASI CHA MWAKA
Leo Jumamosi kutakuwa na michezo ya ligi kuu Uingereza lakini miongoni mwa michezo huo ni mchezo kati ya Liverpool na Man united ndio unaotazamiwa na watu wengi mnoMuda : 14 : 30 Dimba : Anfield Wataz
SPORTS NEWS : LIVERPOOL INAVYOTIWA NJAA NA BARCELONA
Tumerudi tena mpaka kieleweke-Barcelona!MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Barcelona, Oscar Grau ametoa kauli ambayo inaweza kuwatikisa Wanaliverpool baada ya kusema kuwa wanajipanga kurejesha mchakato wa kumw
SPORTS NEWS : SHOMARI KAPOMBE KUREJEA BAADA YA WIKI MOJA
Beki wa kulia wa Simba sc ameongezewa wiki moja zaidi mbele kutokana na majeraha aliyokuwa nayo ili kujimarisha zaidi pindi atakaporejea dimbani kwenye mechi za ligi kuu bara msimu huuDaktari wa Simba
NEWS: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUARISHWA KWA MNADA WA TANZANITE
Wizara ya Madini inatoa taarifa kwa umma kuwa Mnada wa Madini ya Tanzanite uliokuwa ufanyike katika mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro mkoani Manyara kuanzia tarehe 12 hadi 15 Oktoba, 2017,
NEWS: KAULI YA MAJALIWA _SIKU YA KIMATAIFA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA.
TAMKO LA KUADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPUNGUZA MAAFA TAREHE 13 OKTOBA, 2017 Ndugu Wananchi, Oktoba 13 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa. Maadhimisho haya ni utekelezaji w
MAGAZETI: TUMEKUSOGEZEA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMAMOSI TAREHE 14 OKTOBA 20...
Habari mtanzania karibu katika uwanja wa magazeti ya leo 14, 2017.
NEWS: ZUMA ATAKIWA NA MAHAKAMA KUJIBU TUHUMA ZA RUSHWA ZINAZO MKABILA
Pretoria: Jana Mahakama ya Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imewasilishwa na Rais Jacob Zuma kupinga kufufuliwa kwa mashtaka ya kutafuna rushwa dhidi yake. Zuma na marafiki zake ambao ni