- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: TAARIFA YA KUJIUZULU KAMISHNA WA TUME YA UCHAGUZI KENYA (IEBC)
Nairobi: Kamishna wa Tume ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC) Roselyn Akombe ametangaza kujiuzulu katika wadhifa wake kwenye tume hiyo, wakati huo zikiwa zimesalia siku nane kabla ya kurudiwa kwa uchaguz
UTAFITI: MADHARA YA KUTOPATA USINGIZI MUDA MREFU.
1. Maumivu ya kichwa2. Kuongezeka uzito, kutokana na kuongezeka kwa hamu ya kula na kutamani vyakula vyenye mafuta mengi.3. Matatizo ya macho, macho kuuma na pia kuwa mekundu kutokana na kukatisha usi
MAGAZETI: TUMEKUSOGEZEA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATANO TAREHE 18 OKTOBA 2017
Habari ya jumatano mtanzania kokote ulipo karibu katika uwanja wa magazeti ya leo 18, 2017.
SPORTS NEWS : SIMBA YAKANUSHA KULIGAWANYA BENCHI LA UFUNDI
Klabu ya soka ya Simba imeendelea kukanusha taarifa za kutaka kuliondoa benchi lake la ufundi chini ya kocha Mcameroon Joseph Omog na msaidizi wake Mganda Jackson Mayanja.Hayo yamesemwa leo na afisa h
SPORTS NEWS : MSIMAMO LIGI DARAJA LA KWANZA
Msimamo Ligi daraja la kwanza,kila kundi A,B,na C Julio kundi C dodoma fc umwambii kitu hapo
NEWS: TAKUKURU YATOA ONYO KALI KWA NASAARI
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Valentino Mlowola amemtahadharisha Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari kuacha kugeuza taarifa anazoziwasil
NEWS: NASSARI ADAI HATOKAA KIMYA KAMA HATUA HAZICHUKULIWI
Dar es Salaam. Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amesema kuwa hatokaa kimya endapo haoni hatua zinazochukuliwa.Nassari amesema hayo leo Jumanne muda mchache baada ya Mkurugenzi M
NEWS: SERIKALI YAWATAKA WALIVAMIA MISITU YA HIFADHI WAONDOKE MARA MOJA.
DODOMA: Serikali imewataka wananchi waliovamia misitu ya hifadhi ya chenene na chinyami kuondoka katika maeneo hayo mara moja nawatakao kaidi agizo hilo la serikali kwakuendelea kukaa kwenye hifadhi h
NEWS: ZAIDI YA WATU 9000 MKOANI DODOMA WAPATIWA MATIBABU.
DODOMA: Zaidi ya watu 9,000 wamepatiwa matibabu katika wilaya saba za mkoa wa Dodoma huku zaidi ya watu 700 wakifanyiwa upasuaji.Hayo yalijili baada ya jopo la madaktari bingwa wa hospitali ya rufaa y
MAKALA: KUONGEZA NGUVU ZA KIUME BILA KUTUMIA DAWA.
Kuongeza nguvu za kiume bila kutumia dawaMakala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa. Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa sana.Katika kilele