- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAGUFULI: AWASHANGAA WAPINZANI.
DODOMA: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri wa Muungano Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kutangaza kuuvuruga upinzani Tanzania kwa kupokea Mbunge mmoja kutoka chama cha up
NEWS: RAIS MAGUFULI AWAONYA WANACCM.
DODOMA: Rais Wa Jamhuri ya muungano Dk John Pombe Magufuli amewataka wana_CCM kuchangua viongozi waadilifu, wachapa kazi na wenye maadili kwa nia ya kuleta maendeleo kwa Taifa.Ameyasema hayo wakati ak
NEWS: WATANO WAFARIKI DUNIA NA 13 KUJERUHIWA KWA AJALI
Watu watano wamefariki dunia na 13 wajeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika barabara ya Mwanza kwenda Shinyanga eneo la mtaa wa Buhongwa Nyamagana mkoa wa Mwanza baada ya gari yenye namba
NEWS: JPM, SHEIN WAPITISHWA KAMATI KUU, NEC CCM.
DODOMA: Wakati Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ukianza leo na kuhitimishwa kesho mjini Dodoma, tayari chama hicho kimeazimia kwa pamoja kuwateua na kuwapitisha wagombea nafasi ya Mwenyekit
MAGAZETI: TUMEKUSOGEZEA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATATU TAREHE 18 DESEMBA 2017.
Habari ya Jumatatu karibu katika magazeti ya leo 18, 2017.
NEWS: JAFO ASEMA HATAMVUMILIA YEYOTE ATAKAYEHUSIKA NA RUSHWA TARURA.
MWANZA: Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, TAMISEMI Selemani Jafo amewaonya watumishi wa Wakala wa barabara Mijini na Vijijini(TARURA) mikoani na wilayani kutojihusisha na masuala ya Rushwa wakati wanatimi
NEWS: JAFO AAGIZA KUTOBADILISHWA MALENGO YA SEKONDARI YA IHUNGO
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,TAMISEMI Selemani Jafo amewasisitiza viongozi wa mkoa wa Kagera kutokubadilisha malengo ya shule ya Ihungo kwa kuigeuza kuwa chuo kikuu baada ya kukamilika kwa ujenzi. Jaf
NEWS: JAFO AWATIA MATUMBO JOTO WATAALAM WA KILIMO NCHINI
TABORA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo ameanza kuwapima wataalam wa kilimo kivitendo hapa nchini baada ya maelekezo yake aliyo yatoa miezi miwili iliyopita kwa wataalam wote wa
NEWS: MAVUNDE AYATAKA MAKAMPUNI KUFADHILI MCHEZO WA KARATE NCHINI
DODOMA: Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi,Vijana na Ajira Anthony Mavunde ameyataka makampuni,viwanda na Taasisi mbalimbali nchini kusaidia kufadhili mchezo wa Karate nchini ambao umeanza kukua
SPORT: BARCELONA MBIONI KUMSAJILI MSHAMBULIAJI WA ATLETICO GRIEZMANN
Rais wa Barcelona Josep Maria Bartomeu amekutana na familia ya mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann kushawizi uwezekano wa kuhamia Barca katika kipindi hichi cha majira ya joto. sports d