- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
MAGAZETI: SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATANO TAREHE 13 DESEMBA 2017
Habari karibu katika magazeti ya leo 13, 2017.
NEWS: DAGAA ZIWA VICTORIA KULISHA NCHI TANO.
Wito umetolewa kwa wafanyabiashara kutoka nchi za Kenya, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Zambia, Malawi na Uganda kujitokeza kununua dagaa waliofurika katika Soko la Samaki Kirumba Mwaloni, ji
NEWS: MWALIMU MKUU AFIKISHWA KIZIMBANI KWA KUMTANDIKA MWALIMU NGUMI YA JICHO
Mwalimu Yaredi Amosi (27), wa Shule ya Msingi Kitarungu amepandishwa kizimbani leo Jumanne kwa kosa la kumshambulia kwa ngumi na kumsababishia majeraha mwalimu mkuu wa shue hiyo, Thomas Marwa. M
NEWS: TUME YA UCHANGUZI YAWATOLEA POVU UKAWA KUHUSU KUAHIRISHA UCHANGUZI.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhani amesema chama cha siasa kutangaza kugomea uchaguzi hakuwezi kuifanya Tume iuahirishe kwa kuwa haiko kumshawishi mtu au ch
NEWS: RAIS MAGUFULI ACHUKIZWA NA UVAAJI UCHI KWA WASANII.
Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli amekerwa na mamlaka zinazohusika na maadili kutochukua hatua dhidi ya wasanii wanaoimba majukwani wakiwa na mavazi ya utupu.Kauli hiyo ameitoa leo Jumanne wakat
NEWS: JUMLA YA WANAWAKE 556 HUPOTEZA MAISHA KWA VIFO VYA UZAZI.
DODOMA: Imeelezwa kuwa jumla ya wanawake 556 kwa mwaka 2015/16 kwa kila vizazi hai laki moja hupoteza Maisha kutokana na vifo vitokanavyo na uzazi ambapo takwimu zinaonyesha kwa mwaka 2010 vifo hivyo
AFYA: ATHARI ZA KUTOKUNYWA MAJI YA KUTOSHA :
Watu wengi wanadharau maji ya kunywa. Wanaona kula ndio muhimu kuliko kunywa maji. Wanaona vinywaji vingine ndio bora kuliko kunywa maji. Hawajui ni hasara kubwa kiasi gani wanajisababishia katika mii
NEWS: JAFO AKUNWA NA UJENZI WA MIRADI MVOMERO
MVOMERO: Waziri wa Nchi, ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Selemani Jafo amewapongeza viongozi na watendaji wa wilaya na Halmashauri ya wilaya ya Mvomero kwa usimamizi wa Mi
NEWS: RC DODOMA AZITAKA TAASISI ZA DOM KUWAWEZESHA VIJANA KIMAARIFA.
DODOMA: Taasisi zilizopo mkoani Dodoma,zimetakiwa kuwawezesha vijana katika vitu vinavyotumia maarifa ili kuweza kutatua changamoto zilizopo mkoani hapa ikiwa ni pamoja na kilimo cha maarifa.Hatua hi
MAGAZETI: SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMNNE TAREHE 12 DESEMBA 2017
Habari ya jumanne karibu ktaika magazeti za leo 12, 2017.Share