- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WATANO MBARONI KWA KUGHUSHI NYARAKA NA KUIBA MILIONI 284
Pwani: Watu watano wakiwemo watumishi wanne wa serekali katika Hazina ndogo wilayani Kibaha wanashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Pwani kwa tuhuma za kughushi nyaraka mbalimbali za malipo na kuiba
NEWS: CHADEMA YATEUWA WAGOMBEA UBUNGE KATIKA UCHAGUZI MDOGO
Dar es salaam: Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Agosti 17 imeteua wagombea wake wa ubunge katika majimbo matatu ya Uchaguzi wa marudio unao kusudiwa kufanyika siku za hivi
NEWS: JESHI LA CHINA LAJIANDAA KUVISHAMBULIA VISIWA VYA MAREKANI
Jeshi la China linafanya mazoezi ya kujiandaa kushambulia vituo vya Marekani na vya washirika wake huko Pacific, kwa mujibu ya makao makuu ya ulinzi ya Marekani.Katika Ripoti ya kila mwaka ya Congress
NEWS: KASI YA WATUMIAJI WA SIMU TANZANIA YAONGEZEKA KUFIKIA MILIONI 41
Dar es salaam: Ripoti ya mawasiliano kwa robo ya pili ya mwaka iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) jana Agosti 17, inaonyesha mpaka sasa jumla ya watu milioni 41.8 wanatumia simu tofauti na k
SPORTS: LEO NI CLUB BINGWA BARANI AFRICA HATUA YA MAKUNDI
Leo kutapigwa mechi nne katika michezo ya hatua ya makundi ya klabu bingwa barani AfricaVinara wa kundi A Espérance Sportive de Tunis ya Tunisia watakuwa wenyeji wa Al Ahly kutoka nchi MisriKatika ku
SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO IJUMAA AGOSTI 17, 2018
HABARI muakilishi wetu, karibu kwenye kurasa za magazeti ya leo siku ya Ijumaa ya Agosti 17, 2018
PICHA 3: MKUU WA WILAYA WA HAI AMEAMURU KUKAMATWA MKURUGEZI WA TUDELEY
Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameamuru kukamatwa mara moja kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Tudeley, Jensen Natal na mwanasheria wa kampuni hiyo, Edward Mroso kwa tuhuma za kuikosesha serikali
NEWS: VIKAO VYA MAJADILIANO NA WADAU KUHUSU UJUZI NA STADI ADIMU ZA KAZI KATIKA...
DAR: Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (Idara ya Ajira kwa kushirikiana na Idara ya Kazi) wamefanya vikao vya majadiliano na wadau kuhusu ujuzi na stadi adimu za kazi katika s
NEWS: SERIKALI YAJIPANGA KUJENGA VITUO KUCHUNGUZA WATAKAOBAINIKA NA DALILI ZA...
DOM: Mkurugenzi wa huduma za udhibiti wa ubora kutoka wizara ya afya Dk, Mohammed Mohammed amesema serikali imejipanga kujenga vituo vya kuhifadhia na kuwachunguza watakaobainika kuwa na dalili za Ugo
NEWS: VYOMBO VYA HABARI 400 VYA MVAAA RAIS TRUMP
Zaidi ya magazeti 360 nchini Marekani yamechapisha HABARI zao leo Alhamisi kujibu kauli na Tuhuma za rais wa Marekani Donald Trump dhidi ya vyombo vya habari ambavyo amekuwa akivishambulia kwa madai k