- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: TUME YA UCHAGUZI YARUHUSU KUTUMIA VITAMBULISHO VINGINE KUPIGA KURA
Dar es Salaam: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeruhusa matumizi ya vitambulisho mbadala kwenye uchaguzi mdogo wa kata tatu, uliopangwa kufanyika kesho Januari 19, 2019. Akizungumza leo Ijumaa Janua
News: Magonjwa 10 yaliyochangia vifo vingi 2018
DODOMA: Serikali imetaja magonjwa kumi yaliyochangia vifo kwa mwaka 2018 huku ugonjwa wa shinikizo la damu ukijitokeza katika magonjwa hayo na kuchangia vifo kwa asilimia 1.9 ya vifo vyote. Hayo yal
SPIKA NDUGAI: ZITTO AMEKUWA AKINIPA TAABU SANA
Dodoma: Spika wa Bunge la Tanzania JOB NDUGAI amesema mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amekuwa akimpa tabu sana kwa kuzungumza mambo mengi kinyume na taratibu za kibunge na wakati mwingine kuvuka mi
NEWS: CAG AKUBALI KUHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE
Dar es Salaam: Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ana nia ya kuitikia wito wa Spika Job Ndugai kwa sababu ofisi yake haiwezi kufikia ufanisi unaohitajika ka
NEWS: DR BASHIRU AUSIFIA MUSWADA VYAMA VYA SIASA, ATAKA KUTOBADILISHWA
Dodoma: Katibu Mkuu wa chama tawala CCM, Dk Bashiru Ali, amesema muswada wa sheria wa vyama vya siasa ni mzuri kwahiyo asingependekeza utolewe hata koma moja. Dk Bashiru ametoa kauli hiyo leo Alhamis
NEWS: MWENDESHA MASHTAKA AGOMA KUACHILIWA HURU GBAGBO
Jana Jumatano jioni Mwendesha mashitaka wa ICC Fatou Bensouda alikata rufaa dhidi ya uamuzi wa kuachiliwa huru siku moja baada ya ICC kumfutia mashataka Gbagbo na msaidizi wake Charles Ble Goude na ku
NEWS: BODI YA MIKOPO YAANZA MSAKO MAKALI WADAIWA SUGU
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imesema itaanza msako mkali kuwasaka wadaiwa sugu zaidi ya 109,980 ambao hawajaanza kurejesha TSh. bilioni 291.5Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul- Razaq Badru
MAGAZETI: SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JANUARY 17 , 2019
Habari Mtanzania karibu katika Uwanja wa magazeti ya leo.
NEWS: KESI YA MALIZI YAIVA, MAHAKAMA YARUHUSU KUHOJIWA NA TAKUKURU
Dar es Salaam: Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa kibali cha kumhoji aliyekuwa rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jama
NEWS: LUGOLA AMTAKA MKUU WA USALAMA BARABARANI KUJITASMINI KAMA ANATOSHA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemtaka Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Musilimu, kujitafakari kutokana na rushwa iliyokithiri na uonevu kwa wenye magar