November 27, 2024, 10:29 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: BODI YA MIKOPO YAANZA MSAKO MAKALI WADAIWA SUGU
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imesema itaanza msako mkali kuwasaka wadaiwa sugu zaidi ya 109,980 ambao hawajaanza kurejesha TSh. bilioni 291.5
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul- Razaq Badru alisema, fedha hizo zinatakiwa ziwe tayari zimekusanywa hadi kufikia Juni, 2019 ili wahitaji wengine waendelee kunufaika na mkopo huo
Pia wiki ijayo bodi itaanza kazi ya kuwatembelea waajiri kwa lengo la kuwatafuta wanufaika ambao hawajaanza kurejesha au wale ambao wamerejesha kiwango kisichofuata matakwa ya Serikali
Badru alisema katika kipindi cha mwaka huu wa fedha wamepanga kukusanya TSh. bilioni 150