- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SALIM AHMED SALIM APONGEZWA KUPOKEA TUZO YA HESHIMA
Dar es Salaam. Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi amempongeza Waziri Mkuu Mstaafu Dk Salim Ahmed Salim kwa kupewa nishani ya juu ya urafiki ya Jamhuri
NEWS: WAZIRI JAFO AWATAHADHALISHA WAKURUGENZI KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA ...
DODOMA: Wakati tunaelekea katika uchaguzi wa serikali za Mitaa mwishoni mwa mwaka huu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI) Selemani Jafo, amewatahadharisha W
NEWS: MFANYAKAZI WA CRDB ABURUZWA MAHAKAMANI KWA WIZI WA MILIONI 100
Dar es salaam: Mfanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Ubungo, jijini Dar es salaam Andrew Babu (27) na wafanyabiashara watatu, wameshtakiwa kwa kula njama, kughushi Kadi ya banki hiyo aina ya Tembo kadi
NEWS: JELA MIAKA 2 KWA KUMNYWESHA MTOTO DAMU YA HEDHI
Mahakama nchini Uganda imemhukumu mama mmoja jina Annet Namatawa kifungo cha miaka miwili gerezani kwa kumnywesha mtoto wake wa kambo 'damu yake ya hedhi kwasababu ya mtoto huyo kupendwa sana na mumew
NEWS: WAHUJUMU UCHUMI 4 WAMUANDIKIA DDP BARUA KUKIRI MAKOSA YAO
Mkurugenzi na mwanasheria wa kampuni ya mawasiliano ya Six Telecoms Limited Ringo Tenga na wenzake nne wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarifiwa kuwa wamemwandikia barua Mkurugenzi wa Mashta
NEWS: WAKAGUZI WANDANI WASEMA UBARIDHIRIFU UMEPUNGUA NCHINI
WAKAGUZI wa ndani nchini Tanzania wameeleza mafanikio ya kupungua kwa kiasi kikubwa kwa ubadhilifu wa Mali za umma katika sekta mbalimbali za serikali na za binafsi baada ya serikali kuridhia ukaguzi
NEWS: WAZIRI LUGOLA AFUNGUKA KUHUSU WATU WASIOJULIKANA KUTEKWA.
DODOMA: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amezionya baadhi ya asasi za kiraia ambazo zimekuwa na tabia ya kuitukana Serikali pamoja na kusema kwamba hakuna jambo lolote ambalo limefanywa
NEWS: WADAU WA AFYA WATAKIWA KUTUMIA TAKWIMU KWA USAHIHI.
DODOMA: Utumiaji sahihi wa Takwimu mbalimbali zinazohusu masuala ya afya, umetakiwa kuzingatiwa na kufanyiwa kazi ipasavyo ili kuleta mapinduzi chanya katika sekta hiyo nchini.Hayo yamebainishwa na Ka
NEWS: DC SHEKIMWERI AMEWATAKA WACHIMBAJI WADOGO KUWA WAZALENDO.
MPWAPWA: Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Jabir Shekimweri amewataka wachimbaji wadogo kutambua na kuenzi azma ya Rais dokta John Magufuli kwa kuwa wazalendo kwenye kulipa kodi na tozo mbalimbali stahiki iki
NEWS; MAHAKAMA YAWAKATALIA DR MASHINJI NA MATIKO KUSAFIRI NJEE YS NCHI
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam nchini imewakatalia viongozi wawil iwa chama kikuu cha upinzani Chadema Dkt Mashinji na Ester Matiko kusafiri nje ya nchini kwa ajil