- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SERIKALI INAMPANGO GANI KUFUATILIA MATUMIZI MABAYA YA MASHINE YA KUSAGA NA...
DODOMA: MBUNGE wa Viti Maalum Rhoda Kunchela (Chadema) ameitaka serikali kufuatilia na kutoa taarifa juu ya matumizi mabaya ya mashine ya kukoboa na kusaga ambayo ilinunuliwa kwa zaidi y ash. Milioni
NEWS: WAKULIMA WAITAKA SERIKALI KUTOA ELIMU KWA WANANCHI JUU YA UHIFADHI NA U...
DODOMA: WAKULIMA wadogo wadogo wameita serikali kuhakikisha inawaelimisha wananchi juu ya uhifadhi na utunzaji wa maeneo yao badala ya kuwahamisha kinguvu.Kauli hiyo imetolewa leo mjini Dodoma na Mwen
NEWS: SERIKALI YATOA KIFUTA JASHO KWA WANYAMAPORI
DODOMA: WIZARA ya Maliasili na Utalii imesema,hailipi fidia kwa madhara yanayosababishwa na wanyama pori hatari au waharibifu na badala yake inatoa kifuta jasho au kifuta machozi. Akijibu swali Bunge
SPORT NEWS: BARCELONA WANATUALIKA KUMFAHAM KOCHA WAO MPYA
HISPANIA: Mabingwa wa Copa del rey kwa msimu wa mwaka 2016/2017 FC Barcelona jana wamemtambulisha ERNESTO VALVERDE kuwa kocha mpya klabuni hapo baada ya Luis Enrique kuondoka clabuni hapo, VALVERDE mw
TANZIA : MZEE ALIYEBUNI NA KUCHORA NEMBO YA TAIFA AFARIKI DUNIA
DAR ES SALAAM: Msanii aliyebuni na kuchora nembo ya taifa afariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akitibiwa katika hospital ya mhimbili jijini Dar es salaam
NEWS: MZINIFU AUAWA KWA KUPIGWA MAWE
SOMALIA: Wapiganaji wa Kiislamu wa Somalia wamempiga mtu mmoja na kumuuwa mara tu baada ya kuhukumiwa na mahakama ya kiislamu kwa kosa la uzinzi.Dayow Mohamed Hassan mwenye umri wa miaka 44 aliuwawa k
UTAFITI: FAIDA ZA KUNYWA MAJI YENYE NDIMU ASUBUHI
Umesikia mara nyingi kuwa kunywa maji kwa wingi hasa asubuhi kuna faida kubwa sana za kiafya mwilini,lakini kunywa maji yenye ndimu na vuguvugu kuna faida maradufu na ni rahisi kufanya kila siku. Vita
NEWS: SERIKALI YAFANYA JUHUDI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI YA KAMPUNI YA HIGHLAND ES...
DODOMA: MBUNGE wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda (Chadema) jana aliibana serikali na kuitaka ieleze ni lini itatatua mgogoro wa ardhi kati ya kampuni ya Highland Estate Mbarali na wananchi wanaozunguk
TUMEKUSONGEZEA HABARI ZILIZOPO KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMANNE MEI 30
Miongoni mwa Habari zilizopo katika magazeti ya leo jumanne mei 30 ni pamoja na IGP Sirro ala kiapo,kuanza na kibiti, Wabinzani washambuliwa bungeni na katika michezo Simba wafynika bungeni
NEWS: WASOMI ZITTO NA BENSON BANNA WAZUNGUMZIA SAKATA LA MCHANGA WA MADINI
Dar es salaam: Sakata la mchanga wa madini(makinikia) hapa nchini limechukua taswira mpya baada ya wadau na wasomi mbalimbali kuwa na maoni tofauti juu ya sakata hili, Jana kupitia kipindi cha mizani