- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MUGABE: WALIOWAUA WAZUNGU HAWATASHTAKIWA
ZIMBABWE: Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ameambia umati wakati wa sherehe za siku ya mashujaa kwenye mji mkuu wa Harare, kuwa watu ambao waliwaua wakulima wazungu wakati wa mabadiliko ya mifumo ya ard
SPORT: WENGER "NIMEJITOA KAFARA KUMBAKIZA SANCHEZ"
Uingereza: Meneja wa klabu ya Arsenal, Bw. Arsene Wenger amesema kuwa amejitoa kafara kwenye maswala ya kifedha kwa kutokumuachia Alexis Sanchez kuondoka akiwa mchezaji huru mwishoni mwa msimu ujao.
NEWS: CHADEMA WAILAANI SERIKALI KUPORO MALI ZA VIONGOZI WA CHAMA
DODOMA: UONGOZI wa Chama cha Demiokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kati ,umelaani vitendo vya serikali kwa kuwapora mali viongzi wa chama hicho.Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa C
NEWS: WATOTO 40 WA KIUME WALAWITIWA ZENJI
DODOMA: IMEELEZWA kuwa jumla ya watoto wa kiume wapatao 40 wanaosoma kati ya darasa la kwanza na la tatu kutoka visiwani Zanzibar wamefanyiwa ukatili wa kuingili kinyume na maumbile.Hayo yameelezwa na
SPORT NEWS: SIMBA YAGOMA KUMUUZA KICHUYA KWA WAARABU
DAR ES SALAAM: UONGOZI wa mabingwa wa Kombe la FA, Simba wamekataa kumuuza mshambuliaji wao Shiza Kichuya imefahamika.Kichuya alikuwa anatakiwa na klabu moja inayoshiriki Ligi Kuu ya Soka Misri ambayo
SPORT NEWS: SIRI ZITO YAIBUKA UCHAGUZI TFF
DODOMA: IKIWA ni siku nne tu zimepita tangu Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kufanya uchaguzi na kuwapata viongozi wake, baadhi ya waliokuwa wagombea katika uchaguzi huo wameibuka na kutoa yaliyo mo
NEWS: WANAFUNZI WA SAYANSI KULAMBA 40% MIKOPO
ZAIDI ya wanafunzi 30,000 wa vyuo vya elimu ya juu nchini kwa mwaka mpya wa masomo 2017/18, watanufaika na Sh bilioni 427 kutoka Bodi Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), huku wanufaika hao wakiwekwa kwen
NEWS: UBAKAJI WAITAFUNA UNGUJA
ZANZIBAR: SERIKALI ya Mkoa wa Kaskazini Unguja inakabiliwa na kasi ya vitendo vya udhalilishaji wa kijinsi ikiwemo matukio ya ubakaji na mimba kwa wanafunzi.Hayo yalisemwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
UTAFITI: MBINU 5 ZA KUANZA NA KUKUZA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO
Hapa tutashirikishana baadhi ya mambo ya kufanya ili kuweza kukuza biashara hii na kufikia mafanikio makubwa. 1. Jipe muda, biashara haitaweza kukua haraka kama unavyofikiri Uzuri wa kuanza biashara
NEWS: SOKO KUU SIDO JIJINI MBEYA LAUNGUA MOTO
MBEYA: Soko kuu la Jijini Mbeya maarufu kama SIDO limeungua moto usiku wa kuamkia leo .Moto huo ulianza majira ya saa 3 usiku ambapo mali za wafanyabiashara mbalimbali katika soko hilo zimeteketea.