- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAMBO 10 AMBAYO TANZANIA NA MISRI ZIMEKUBALIANA KUSHIRIKIANA BAADA YA RAIS...
DAR ES SALAAM: Tanzania na Misri zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kijamii katika maeneo makuu 10, ikiwemo kuimarisha uhusiano, ulinzi na kujenga kiwanda kikubwa cha nyama pamoja na
NEWS: MAJALIWA: '' TUACHE KUWATUMIA WATOTO WADOGO KAMA VIBARUA''
TABORA: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Mkoa wa Tabora, wawapeleke watoto wao shule na waache kuwatumia kama vibarua kwenye mashamba ya tumbaku.Waziri Mkuu alitoa agizo hilo juzi waka
BURUDANI: DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU KUWEKA PICHA YA ALIKIBA OFISINI KWAKE
DAR ES SALAAM: Msanii wa Muziki Bongo, Diamond Platnumz ametoa sababu ya kuweka picha ya Alikiba katika ofisi yake ya WCB. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ya Eneka, ameimbia
NEWS: ZUMA : ''KULIKUWA NA NJAMA ZA KUTAKA KUNIUWA''
AFRIKA KUSINI: Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini wikiendi iliopita alizungumzia kuhusu jaribio la kumuua akisema kuwa aliwekewa sumu na karibu afariki kutokana na msimamo wake wa kiuchumi na marekebish
UTAFITI: SABABU ZA KUUMWA TUMBO WAKATI WA HEDHI.
Tumbo la hedhi au maumivu wakati wa hedhi (period pains) au kitaalamu dismenorrhea, ni maumivu yanayojitokeza sehemu ya chini ya tumbo au kiunoni wakati mwanamke anapoanza kupata siku zake au kabla ya
UTAFITI: VYAKULA VINAVYOIMARISHA NGUVU ZA KIUME.
Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi imepelekea woga mkubwa kwa baadhi
NEWS: NVUA ZASABABISHA MAAFA SIERRA LEONE
SIERRA LEONE: Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na maporomoko ya udongo na mafuriko katika mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown, imeongezeka na kufikia zaidi ya watu mia tatu.Inaofiwa kwamba mii
MAGAZETI:TUMEKUSONGEZEA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMANNE TAREHE 15 AUGUST 2017
Habari mtanzania nikukaribishe kwenye uwanja Wa magazeti yote ya Leo jumanne ya agosti 15.
NEWS: TAKRIBAN WATU 200 WAUAWA KWENYE MAPOROMOKO YA ARDHI SIERRA LEONE.
SIERRA LEONE: Idadi ya watu waliouwa kwnye maporomoko ya ardhi nchini Sierra Leone haujulikani baada ya idaia tofauti kutolewa.Shirika la habari la AP linasema kuwa takriban watu 200 wameuawa.Image ca
NEWS: MCT YATANGAZA RIPOTI YA UVAMIZI WA STUDIO ZA CLOUDS TV
DAR ES SALAAM: Baraza la Habari Tanzania (MCT) limezindua Ripoti ya Hali ya Vyombo vya Habari hapa nchini kwa mwaka 2016 (State of the Media Report) ambapo ripoti hiyo hutolewa kila mwaka ili kuushiri