- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
ZITTO KABWE: "HATUJAWAHI KUWA NA SPIKA ANAYEDHALILISHWA NA RAIS"
Dar es salaam: Mbunge wa Kigoma Ujiji Kupitia tiketi ya chama cha ACT wazalendo Mh. Zitto Zuberi kabwe ameonesha kukasirishwa na spika wa bunge Job Ndugai kwa madai yakuwa bunge halijitegemea kama muh
NEWS: JAFFO ATISHIA KUZINYANGANYA HALIMASHAURI ZOTE PESA ZA UJENZI
Dodoma: Naibu waziri wa nchi ofisi ya rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Seleman Jaffo ametoa muda wa mwezi mmoja na nusu kwa halmashauri ambazo hazijaanza ujenzi wa ofisi zao licha ya
NEWS: MWILI WA KICHANGA WAOKOTWA MFEREJINI
ARUSHA: Mwili wa mtoto ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa siku moja umeokotwa kwenye mfereji wa kupitisha maji machafu katika eneo la Mtaa wa Ali Nyanya kata ya Ungalimited jijini Arusha. Kichanga h
TATU MPYA : HABARI KUU 3 ZENYE UZITO TANGU ASUBUHI YA LEO
Taarifa 3 Muhimu Tanzania- Bunge latikisa, huko Dodoma (wabaunge waitwa kwenye kamati)-Uefa Champions League yarejea usiku huuTaarifa tatu ambazo zimechukua uzito mkubwa tangu asubuhi mpaka sasa 12;00
NEWS: OFISI ZA MAWAKILI WA YUSUPH MANJI ZAVAMIWA
Dar es Salaam. Watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia na kufanya uharibifu katika Ofisi za Wanasheria wa Prime Attorneys katika jengo la Prime House lililopo Mtaa wa Tambaza Jiji Dar es sal
SPORTS NEWS : HASSANI BANYAI -TUTASHINDA MECHI ZIJAZO
Baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo ya ligi kuu ya Tanzania bara, kocha wa Njombe Mji Hassan Banyai amesema bado matumaini ya kufanya vizuri yapo kwani mpaka sasa ligi bado ni mbichiTimu ya njo
LIVE: FATILIA MATANGAZO YA BUNGE MOJA KWA MOJA LEO TAREHE 12 SEPT 2017
Leo Mjini Dodoma bunge linaendelea ambapo Waziri wa Katiba na Sheria atatoa maelezo ya muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria (Na.3) ya mwaka 2017.
NEWS: KOREA KASKAZINI YAWEKEWA VIKWAZO VIPYA NA UMOJA WA MATAIFA
New York City: Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini siku ya Jumatatu, Septemba 11. Vikwazo hivyo ambavyo ni kama adhabu ya kufanyia majaribio zana z
SPORTS NEWS : KUMEKUCHA USIKU WA UEFA ULAYA
Michuano ya klabu bingwa barani ulaya kwa msimu wa 2017/2018, utaanza leo rasmi kwa jumla ya michezo nane kupigwa katika viwanja mbalimbali.Katika kundi A Manchester United watakuwa nyumbani katika di
UTAFITI: FAIDA ZA KULA KARANGA MWILINI
Wengi wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Kiukweli karanga siyo chakula cha kupuuziwa iwapo utajua faida