- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WABUNGE WA CHADEMA WAMJIA JUU UMMY BAADA YA KUSEMA SEREKALI IKOTAYARI KUMT...
Dar es salaam: Baada ya kauli ya Serekali jana kupitia Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Mh. Ummy Mwalim kusema kuwa Serekali iko tayari na haijashindwa kugharamia matibabu kokote pale Duniani mara ba
BURUDANI : HAMISA MOBETTO AME-UNFOLLOW WATOTO WA ZARI
Mara nyingine inabidi ucheke! na kuona siku yako inaenda mwalala kabisa.Muda Mchache baada ya The Bossy Lady Mganda Zarinah Hassan,ambaye ni mwanamke wa Msanii Diamond kumshushia kichambo cha mwaka M
BURUDANI : MTOTO WA MOBETO ASIWASHOBOKEE WATOTO WANGU-ZARI
Siku zote Tembo wakipigana zinazoumia ni nyasi! Hiyo imejidhihirisha kufuatia ‘vita ya penzi’ inayoendelea kuunguruma mitandaoni kati ya mwanamitindo Hamisa Mobeto na mfanyabiashara, Zarinah Hassa
NEWS: ZAIDI YA MILION TSHS. 200 ZACHANGWA MATIBABU YA LISSU
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo , CHADEMA ambaye pia ni mbunge wa Hai Freeman Mbowe amesema wamekusanya Tshs. 204 milioni kwa ajili ya matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tun
NEWS: LEMA: FAMILIA YA LISSU HAIJASHINDWA KUMTIBU LISSU
ARUSHA: Mbunge wa Arusha Mjini Gobless Lema Afunguka na kumjibu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu kauli aliyotoa jana kuwa serikali ipo tayari kumtibu Lissu endapo familia yake itaomba kwa serikal
NEWS: NGO'MBE ASABABISHA AJALI MOJA AFARIKI DUNIA SITA KUJERUHIWA.
Watu sita kujeruhiwa na moja kupoteza maisha huku watu zaidi ya 50 wakinusurika kifo baada ya ajali iliyosababishwa na ng'ombe aliyekuwa akivuka barabara ghafla bila kuonekana na dereva wa basi la ka
NEWS: ZAIDI YA WATU LAKI MBILI KUPOTEZA MAISHA KWA MAGONJWA MBALIMBALI.
DODOMA: ZAIDI ya watu laki mbili nchini wamepoteza maisha ndani ya muda wa miaka kumi kutokana na magonjwa mbalimbali kufuatia taarifa kutoka Taasisi ya Taifa ya utafiti wa magonjwa ya binadamu nchini
BURUDANI : KAJALA AKANUSHA KUTOKA NA MUME WA MTU
STAA kiwango kunako filamu Bongo, Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ametokwa povu kuwa hakuna kitu ambacho anakichukia katika maisha yake kama mtu kumbambikia kiki ambazo zinahusiana na kutembea na mu
NEWS: WAZIRI MPINA APIGA MARUFUKU MACHIMBO YA MCHANGA
Pwani: Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina amefunga machimbo ya mchanga katika kijiji cha Kolangwa Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani kwa kile serekali ina
BURUDANI : MARA PAAA! BEN PAUL APOKEI SIMU YA EBITOKE
Ebitoke afunguka Ben Pol kumzingua, ‘hapokei simu, hajibu sms’Mchekeshaji Ebitoke amesema kwa sasa hayupo katika mahusiano mazuri na Ben Pol.Wawili hao ambao walitangaza kuwa katika dimbwi la mape