- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS : NI LAZIMA WANIUWE -PETER MSIGWA
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema atalishitaki Jeshi la Polisi, kwa tuhuma za kuingilia majukumu yake ya kikazi pale anapokuwa akitimiza wajibu wake wa kibunge ikiwa pamoja na kuz
NEWS: WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KWA KUCHOMWA MOTO.
TABORA: WATU wawili wanasadikiwa kujihusisha vitendo vya wizi wa pikipiki wamefariki dunia hapo hapo baada ya kupigwa na kuchomwa moto wananchi wenye hasira kali wakati wakijaribu kumyang’anya pik
NEWS: MWANAMKE MWENYE UZANI MKUBWA ZAIDI DUNIANI AFARIKI.
MISRI: Mwanamke raia wa Misri ambaye aliaminiwa kuwa mtu mwenye uzani mkubwa zaidi duniani amefariki kwenye hospitali moja katika umoja wa falme za kiarabuEman Ahmed Abd El Aty alikuwa amepelekwa nchi
NEWS: AJALI YAUWA MOJA, 60 WAJERUHIWA.
Mtu mmoja amefariki na wengine zaidi ya 60 kunusurika kifo katika ajali ya basi la kampuni ya Allys Sports kupinduka katika barabara kuu ya Shinyanga kwenda Mkoani Mwanza. Hayo amethibitisha, Kamanda
NEWS: MWAKYEMBE APIGA MARUFUKU MASHINDANO YA MISS TANZANIA NA TUZO ZA MUZIKI
DAR ES SALAAM: Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe amepiga marufuku mashindano ya Miss Tanzania na tuzo za muziki kutokana na ubabaishaji wa waandaaji wa mashindano ya tasnia hizo.
NEWS: SHULE YA HUZI CHAMWINO YAPATA NEEMA YA MABATI
DODOMA: Kampuni ya kutengeneza mabati ya ALAF imetumia zaidi ya shilingi milioni 200 kwenye miradi mbalimbali ya kijamii nchini ikiwemo mradi wa Malaria, kifua kikuu na ukimwi ikiwa ni sehemu ya kuto
NEWS: KAULI YA NDUGAI KUHUSU MATIBABU YA LISSU
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amefunguka na kudai matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu hayawezi kufanyika kwa kuchangishana michango kwa kuwa ana bima yake na haki zake ndan
NEWS: UMMY : 'MSITOE RUFAA YA MGONJWA KUTIBIWA NJE'
DAR ES SALAAM: Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa agizo kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuhakikisha haitoi rufaa ya matibabu nje ya nchi ikiwa wan
BURUDANI : MAD ICE - HARMORAPA SIO MSANII
Msanii wa muziki Bongo, Mad Ice ameelezwa kushangazwa na uwepo wa Harmorapa katika muziki na kujulikana kama msanii wakati hana uwezo huo.Muimbaji huyo ambaye anaishi nchini Finland ameiambia Planet B
NEWS: JAFO ATAKA JENGO LA AKINA MAMA KUKABIDHIWA 20 OKTOBA.
DODOMA: NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala na Serikali za Mitaa TAMISEMI Selemani Jafo ameuangiza uongozi wa hospital ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma ifikapo oktoba 20 mwaka huu jengo la wodi y