- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: HUKUMU YA LULU KUJULIKANA NOVEMBA 13
DAR ES SALAAM: Mahakama Kuu Tanzania chini ya Jaji Sam Rumanyika inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili muigizaji Elizabeth Michael maarufu 'Lulu" Novemba 13, 2017. Ha
NEWS: KINACHOENDELEA KWA SASA KWENYE UCHAGUZI NCHINI KENYA
Nairobi: Leo wakenya wanapiga kura licha ya kuwepo kwa hali ya mvutana kati ya Muungano wa upinzani NASA na chama tawala chake Uhuru kenyatta.Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa katika uchaguzi mpya
UTAFITI: VILAZA 1,194 WACHANGULIWA SEKONDARI UKEREWE.
MWANZA: WANAFUNZI 1,194 wasio na sifa wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, walichaguliwa kwenda sekondari mwaka 2015 wakati hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu.Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Hal
NEWS: MWILI WA MFALME KUCHOMWA MOTO.
THAILAND: Waombolezaji kote Thailand wanafanya matembezi kunaadhimisha sehemu kuu ya siku tano za sherehe za mazishi kwa ajili the Mfalme Bhumibol Adulyadej aliyeaga dunia.Mfalme huyo alifariki Oktoba
UTAFITI: MADHARA YA ULAJI WA NYAMA YA NGURUWE.
Utafiti unaonyesha ulaji wa nyama nyekundu una madhara makubwa sana kuliko ulaji wa nyama nyeupe hata hivyo watu ambao hawali nyama kabisa wako mbali sana na hatari hizi. Lakini kwa kua nyama pia ina
MAGAZETI: TUMEKUSOGEZEA MAGAZETI YOTE YA LEO ALHAMISI TAREHE 26 OKTOBA 20...
Habari ya Alhamisi mtanzania mkokote ulipo karibu katika uwanja wa magazeti ya leo alhamisi 26, 2017.
NEWS : KENYATTA AWAOMBA WAKENYA KUJITOKEZA KWA WINGI
Naombeni wananchi mjitokeze kwa wingi-Kenyatta Rais Kenyatta, kwenye hotuba yake kwa taifa jana kabla ya kufanyika kwa uchaguzi leo, aliwataka kujitokeza kushiriki uchaguzi wa leo.Alisema kila Mkenya
NEWS : KATIBU MKUU CHADEMA MIKONONI MWA DCI
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji ametakiwa kuripoti ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), imeelezwa.Dk Mashinji anakwenda kuripoti kipindi ambacho Mkurugenzi wa Operesh
NEWS: UMMY AKERWA KITENDO CHA KUWEKWA NDANI WATUMISHI WA AFYA.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amekemea vitendo vya kuwaweka ndani watumishi wa afya bila kufuata utaratibu vinavyofanywa na wakuu wa wilaya na mikoa.Ames
NEWS: JAMII YATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KUDHIBITI USUGU WA VIMELEA VYA MAGONJ...
DODOMA: Jamii nchini imetakiwa kuwa mstari wa mbele katika kudhibiti usugu wa vimelea vya magonjwa kwa lengo la kulinda Afya ya Binadamu,Mifugo na Mazingira na kukabiliana na mlipuko wa magonjwa yat