- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: POLEPOLE AMTUPIA JIWE ZITTO KABWE
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Ndg Humphrey Polepole amerusha jiwe gizani kwa Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Kabwe kwamba anajua wakati huu anapitia wakati mgumu sana ndani ya chama ndiyo
SPORTS NEWS : CORABAO CUP.RATIBA HEWANI ROBO FAINALI
Majina ya timu ambazo zitakutana katika hatua ya robo fainali ya kombe la Carabao Cup yametoka.Katika hatua hiyo mechi ambazo zinaonekana kuvuta hisia za mashabiki wengi ni pale Leicester watakapokuta
NEWS: DKT KIGWANGWALLA AFANYA KIKAO KIZITO NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA NGORON...
LOLIONDO: Waziri wa maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigangwala amesema kuwa watoa huduma mbalimbali za utalii watatakiwa kufuzu mtihani kabla ya kupewa leseni mpya kuanzia Januari 2018 ambapo Serik
BURUDANI : HUENDA AKAWA SERIOUS KIDOGO,JOTI KUFUNGA NDOA
Mchekeshaji mkongwe Bongo, Joti hatimaye ameamua kuachana na utani wa kudai anaoa na kuamua kufanya kweli kwa kudhihirisha yupo serious kidogo kwa jambo la mahusiano kwa kutarajia kuvuta jiko hivi kar
NEWS: MVUA YAUA NA SABA WANUSURIKA DAR.
DAR ES SALAAM: Mvua za vuli zilizoanza wiki zimesababisha madhara makubwa katika mikoa mbalimbali ikiwamo ya Pwani na Dar es Salaam kiasi cha barabara kufungwa, mabasi yaendayo haraka kusimamisha hud
NEWS: MWANAMUME AKAMATWA BAADA YA KULIPWA KUUA WATU 70
PAKISTAN: Mwanamume mmoja raia wa Pakistan ambaye amekuwa akitafutwa na polisi wa kimataifa wa Interpol kwa madai kuwa alilipwa kuua watu, amekamatwa nchini Hungary.Mamlaka nchini Pakistan zilikuwa zi
NEWS: CHADEMA KUNG'ATUA MKURUNGEZI WAO POLISI.
Baada ya Polisi kuendelea kumshikilia Mkurugenzi wa Chadema wa Operesheni na Mafunzo, Kigaila Benson chama hicho kimesema kimekwenda Mahakama Kuu kuiomba itoe amri kwa jeshi hilo kumfikisha kort
NEWS : SERIKALI YA BURUNDI YAUNGA MKONO MAREKEBISHO YA KATIBA
Serikali ya Burundi yaunga mkono marekebisho ya katiba,ambapo huenda Rais wa hivi sasa,Nkurunzinza akapewa mihula mingi zaidiSerikali ya Burundi imeidhinisha marekebisho ya katiba ambayo yatatoa fursa
AFYA: FAIDA ZA KULA PILIPILI MWILINI.
MARA nyingi pilipili hutumika kuongeza ladha ya chakula kwenye jamii mbalimbali, watu wengi huitumia kama kiburudisho tu bila kujua kwamba pilipili hizi zina faida nyingi sana...zipo pilipili za kuwa
MAGAZETI: TUMEKUSOGEZEA MAGAZETI YOTE YA LEO IJUMAA TAREHE 27 OKTOBA 2017
Habari ya ijumaa mtanzania kokote ulipo karibu katika uwanja wa magazeti ya leo. ==>Magazeti mengine yatawekwa hivi Punde. Endelea kutembelea ukurasa huu