- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
MAGAZETI: TUMEKUSOGEZEA MAGAZETI YOTE YA LEO TAREHE 11 NOVEMBA 2017.
Habari karibu mtanzania kwenye magazeti ya leo 11, 2017.
NEWS: SERIKALI YAIKANA TAASISI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU.
Dodoma. Serikali imesema haiitambui taasisi ya Tanzania Social Support Foundation (TSSF) ambayo inajihusisha na mikopo ya elimu ya juu. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichak
NEWS: KESI YA HAMISA MOBETO YATUPILIWA MBALI
Dar es salaam: Kesi ya Mwanamitindo maarufu nchini Tanzania Hamisa Mobeto na Diamond Platnumz yatupiliwa mbali na mahakama ya hakimu mkazi kisutu upande wa watoto jijini Dar es salaam.Uwamuzi wakutupi
NEWS : MAMILIONI WAMIMINIKA KATIKA MAOMBOLEZO YA KARBALA ARUBAINI YA HUSSEIN
Mamilioni waendelea kuomboleza Karbala katika Arubaini ya Hussein (as)Mamilioni ya waumini wameendelea kuomboleza na kuzuru kaburi la mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twali
NEWS : RAILA ODINGA ATAKA VIONGOZI WASALITI WACHUKULIWE HATUA MARA MOJA
Raila: Mabalozi wa nchi za Magharibi ni wasaliti, wachukuliwe hatuaRaila Odinga Kiongozi wa Muungano wa upinzani Kenya (Nasa) jana aliwataka viongozi wa nchi za Magharibi hususan Marekani na Uingereza
DAR ES SALAAM: Wakili feki aliyetambulika kwa majina ya Bw. Jeremiah Ragita amekamatwa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi. ===== Pichani hapo juu ni Bw. Jeremiah Ragita aliyejifanya kuwa Wakili akit
NEWS: ELIMU YA MSINGI KUWA MIAKA 6
Serikali inatarajia kuanzisha mfumo mpya wa elimu hapa nchini ambao elimu ya msingi itakuwa inatolewa kwa miaka 6, tofauti na ilivyo sasa ambapo hutolewa kwa miaka 7. Akijibu swali linalohusu watot
NEWS: WABUNGE BASHE NA NASSARI WATUPIANA VIJEMBE TWITTER
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA) amemvaa Mbunge wa Nzega Mjini, Mh. Hussein Bashe (CCM) kwa kumpachika sifa ya unafiki baada ya kutoa kauli ya kwamba hoja zilizojadiliwa bungen
NEWS: KIGWANGALLA: 'UTALII WA BURUDANI UTAAMBANA NA UTAMADUNI'
Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla ameagiza taasisi zote zilizopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuwekeza kwenye mkakati wa kuleta utofauti katika vivutio vya utalii. Waziri
NEWS: NDALICHAKO ATAJA SIFA ZA UOMBAJI WA MKOPO WA ELIMU YA JUU.
DODOMA: Waziri wa elimu,sayansi na technolojia Joyce Ndalichako amesema katika kuhakikisha wakati wa kuwasilisha maombi ya mkopo wa elimu ya juu , mwombaji kuawasilisha taarifa muhimu zikiwemo shulea