- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: KESI YA HAMISA MOBETO YATUPILIWA MBALI
Dar es salaam: Kesi ya Mwanamitindo maarufu nchini Tanzania Hamisa Mobeto na Diamond Platnumz yatupiliwa mbali na mahakama ya hakimu mkazi kisutu upande wa watoto jijini Dar es salaam.
Uwamuzi wakutupilia mbali huo umetolewa leo ijumaa 10.11.2017 na Hakimu mkazi kisutu Devotha Kisoka baada ya kusikiliza pande zote mbili. Uwamuzi wa kutupilia mbali shitaka hilo umekuja baada ya Diamond platnumz kuweka pingamizi juu ya kesi hiyo kutokana na kifungo kilichotumika kufungulia kesi hiyo sio sahihi.
Mobeto alifungua kesi hiyo akidai matunzo kwa mtoto kutoka kwa mwanamuziki Diamond ya Tsh 5 milioni kwa mwezi maombi ambacho mwanamuziki huyo ameyapinga.
Mobeto alifungua kesi hiyo akiwa na mawakili wawili walter Goodluck na Abdullah Lyana kutoka kwenye kampuni ya mawakili ya Century Attorney