- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
MAGAZETI YA LEO JUMANNE YA DESEMBA 25, 2018
Ni asubuhi nyingine ya Krismas ya Leo Siku ya Jumanne ya Desemba 25, 2018
NEWS: CHADEMA WAONGEZA KASI YA KUPITISHA BAKULI KWA WANACHAMA WAKE
Dar es salaam: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea kuchangishana fedha ili kuongeza nguvu ya wanasheria katika kesi zinazowakabili wanachama na viongozi wake wakiwamo Mwenyekiti wa
NEWS: ALIYEMUHONGA WAZIRI LUKUVI MILIONI 90 AACHILIWA HURU
Dar es salaam: Mahakama ya Wilaya ya Ilala hatimaye imemuachia huru, Mohamed Kiluwa (50) aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kutoa rushwa ya Sh milioni 90 kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya M
NEWS: MAAMUZI YA TUME YA UCHUGUZI DHIDI YA RUFAA KATA YA MAGOMENI
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa moja (1) kutoka kwa Mgombea Udiwani wa Kata ya Magomeni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Tume imepokea rufaa hiyo kwa kuzingatia kifungu cha 44(5)
NEWS: ARSENAL KUVUNJA RECORD YA USAJILI YA £72 ML KWA NICOLAS PEPE
Klabu ya Arsenal inaweza kuvunja rekodi yake ya usajili kwa kutaka kumsajili mchezaji winger wa Lille ya Ufaransa Nicolas Pepe baada ya timu yake hiyo kutaka dau la pauni Milioni £72 ili kumuuza wing
NEWS: ZAIDI YA WATUMISHI 50 WASITISHIWA MISHAHARA YAO
Watumishi wa umma zaidi ya 56 wamesimamishiwa mishahara yao kwa kile kinachodaiwa kushindwa kutoa taarifa zisizo sahihi kupitia Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara Serikalini (HCMIS).Naibu Waz
MAGAZETI: SOMA MAGAZETI YA LEO JUMATATU DESEMBA 24, 2018.
Habari Mtanzania Karibu katika magazeti ya leo.
NEWS: HATIMAYE NDENGE YA AIRBUS A220-300 YAWASILI NCHINI
Ndege mpya Kubwa ya shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania imewasili leo jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Rais wa Tanzania John Magufuli Mchana wa leo.Ndege hiyo,kimsingi imeundwa na kampuni
NEWS: SHUGHULI ZA SEREKALI YA MAREKANI ZAFUNGWA
Maeneo fulani ya shughuli za serikali ya Marekani zitaendelea kusitishwa kwa siku tano mfululizo, baada ya wajumbe wa baraza la Seneti kushindwa kupiga kura siku ya Jumamosi kutokana na mkwamo kwenye
NEWS: TSUNAMI YAANGAMIZA WATU 160 INDONESIA
Watu zaidi ya 160 wamepoteza maisha na karibu 600 wamejeruhiwa katika mji wa Sunda Strait nchini Indonesia, baada ya kutokea kwa Tsunami katika mji huo wa Pwani.Mbali na mauaji hayo, watu zaidi ya 20