- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: CAF YAMTAJA MANE KUWA MCHEZAJI BORA AFRICA
Shirikisho la soka barani Afrika CAF Limemtaja mwanasoka bora wa mwaka 2019 kuwa ni Mchezaji wa CLUB ya Liverpool na Timu ya Taifa ya Senegal Sadio Mane.Walioshiriki kinyang'anyiro cha tuzo hizo ni m
NEWS: MTATURU ATIMIZA AHADI YAKE YA KUTOA SARE NA VIFAA VYA SHULE
SINGIDA: Mbunge wa Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu amegawa sare za shule,madaftari na kalamu zenye thamani ya shilingi milioni 6.8 kwa wanafunzi wa darasa la kwanza na kidato cha kwanza kwenye shule zilizopo jimboni kwake.Hatua hiyo ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa katika mikutano yake ya kwanza jimboni humo baada ya kuchaguliwa na kuapishwa septemba 3 mwaka jana kuwa mbunge.Akizungumz
NEWS: MGANGA WA KIENYEJI MBARONI KWA KUMBAKA MGONJWA WAKE
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Hemed Jumanne (40) mkazi wa Sengerema, anayedaiwa kuwa Mganga wa Kienyeji,kwa tuhuma za kumbaka Mwanamke mmoja jina linahifadhiwa (32) mkazi wa Butimba Mkoani Mwanza. Tukio hilo limetokea Januari 4,2020 katika mtaa wa Jiwe,Kata ya Igogo Wilaya ya Nyamagana,hii ni baada ya Muathirika wa tukio hilo kufika kwa Mganga huyo
NEWS: WAKILI MAARUFU KENYA MIGUNAMIGUNA AZUILIWA KUINGIA KENYA
Wakili maarufu nchini Kenya mwenye utata Miguna Miguna, amedai kuwa mamlaka nchini Ujerumani imemzuia kupanda kwenye ndege ya kuja Kenya."Serekali ya Kenya imeitaka Lufthansa kutonisafirisha kwenye nchi yeyote Afrika... Meneja wa Usafirishaji amesema lazima serekali ifanye mawasiliano kwanza kabla ya mimi kuruhusiwa kusafiri kwenda Kenya" amesema Miguna MingunaBw. Miguna amesema kuwa tahadhari im
NEWS: AFISA POLISI MBARONI KWA UTAKATISHAJI WA PESA
Dar es Salaam. Ofisa wa Polisi nchini Tanzania, Emmanuel Mkilia(44) na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwamo la kutakatisha fedha kiasi cha Sh798 milioni mali ya Jeshi la Polisi Tanzania.Mbali na Mkilia, washtakiwa wengine ni mtaalamu wa Tehama, Donald Mhaika (39) mkazi wa Kinondoni, Abdi Ally (48), mkazi wa Ilala
NEWS: SEREKALI YAVIFUTA VYAMA VYA USHIRIKA 3,436
SERIKALI imetangaza kuvifuta vyama vya ushirika vipatavyo 3,436 ambavyo vimeshindwa kutekeleza majukumu yake ya msingi na havipatikani huku vingine vikiwa havijulikani vilipo.Kwa kuzingatia matakwa ya sheria no 6 ya mwaka 2013 ya vyama vya ushirika kifungu 100 na kanuni ya 26, Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga amemuagiza Mrajisi wa vyama hivyo kutoa notisi ya siku 90 kwenye gazeti la serikali ya
NEWS: BUNGE LA IRAQ LAPIGA KURA KUAYAONDOA MAJESHI YA MAREKANI
Bunge la Iraq limepiga kura hii leo ya kuyaondoa Majeshi 5,000 ya Marekani yaliyomo kila kona ya nchi Hiyo.Wabunge hao wamepiga kura hiyo kupitisha azimio linaloitaka serikali kuviamrisha vikosi vya kijeshi vya kigeni kuondoka nchini humo mara moja.Hatua hiyo imechukuliwa katika kikao cha dharura kilichoitishwa leo.Azimio hilo hasa linalenga kumaliza makubaliano yaliyoafikiwa mika minne iliyopita
NEWS: TRUMP AFANYA ASHEREHE KIFO CHA JENERALI WA IRAN
Rais Donald Trump wa Marekani Ijumaa amesheherekea kifo cha kamanda wa Kikosi maalum cha Quds, akisema shambulizi hilo la angani lililomuua Qassem Soleimani lilikuwa limecheleweshwa kufanyika kwa muda
NEWS: NEC YAWATAKA WANANCHI LINDI NA MTWARA KUBORESHA TAARIFA ZAO
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewahimiza wananchi wa Mikoa ya Lindi na Mtwara kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.Wakizungumza kwenye mikut
NEWS: MWANDISHI WA DW KISWAHILI ALISHWA SUMU DODOMA
Dodoma. Mwandishi wa habari wa Idhaa ya Kiswahili ya sauti ya Ujerumani (DW) Deokaji Makomba amelazwa ghafla katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania Mara baada ya kudaiwa kulishwa