- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: TRUMP ALISHUTUMU SHIRIKA LA W.H.O KWA KUIPENDELEA ZAIDI CHINA
Rais wa Marekani Bw. Donald Trump ametishia vikali kuliondolea fedha zake shirika la afya Duniani WHO kwa madai kuwa shirika hilo halikutilia maanani kwa namna ilivyopasa hatari ya maambukizi ya virus
NEWS: NEC YATENGA SIKU 3 KUHAKIKI KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA
Dar es Salaam. Tume ya Uchaguzi nchini Tanzania (NEC) imesema uboreshaji wa daftari la wapiga kura awamu ya pili wanapanga kuanza mwezi Aprili 17 hadi Mei 4, mwaka huu ili kujiandaa na Uchaguzi Mkuu
NEWS: RIPOTI YA CAG YABAINI UPIGAJI WA BILIONI 2.5
Dar es Salaam. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini Tanzania (CAG) ya mwaka unaoishia June 30, 2019 imebaini matumizi ya Sh2.58 bilioni yaliyofanywa kinyuma na sheria na Wiz
AFYA: IFAHAMU TEZI DUME NA TIBA YAKE
Kansa ya tezi dume ni aina ya kansa ambayo huwapata wanaume tu. Kansa hii hutokea katika tezi maalumu zilizopo kwa mwanaume ziitwazo Tezi za kibofu. tezi hizi hupatikana katika mfumo wa uzalishaji wa
NEWS: WAZIRI MKUU WA UINGEREZA APELEKWA ICU SABABU YA CORONA
Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson usiku wa kuamkia leo alihamishiwa katika chumba maalumu cha wagonjwa mahututi (ICU) Mara baada ya afya yake kuwa mbaya kutokana kusumbuliwa na ugonjwa wa coron
NEWS: RIPOTI YA CAG YABAINI MALIPO YA WATUMISHI HEWA SH. 167M
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serekali (CAG) ilibaini malipo hewa yaliyolipwa kwa watumishi waliokoma utumishi wao ya kiasi cha sh milioni 167.44 kutokana na sababu mbalimbali kama v
NEWS: MBUNGE WA CUF AMTAKA WAZIRI KUKAA KARANTINI
Dodoma. Mbunge wa Konde kutoka Jamhuri ya Tanzania (CUF) Khatib Said Haji ameiomba Serikali kumchukulia hatua mara moja Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati, Salama Aboud Talib wa visiwani Zanziba
NEWS: MEYA UBUNGO AACHIA NGAZI ATANGAZA KUTOGOMBEA TENA
Dar es Salaam. Meya wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam Boniface Jacob ametangaza uwamuzi wa kutogombea tena katika nafasi ya udiwani wa kata ya Ubungo katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufan
NEWS: MAKONDA ATENGUA KAULI YAKE KUWATIA MAHABUSU WAZURURAJI
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema kuwa watu watakaokamatwa mtaani kutokana na kuzurura katika mkoa wake watapewa kazi ya kufanya na si kwenda mahabusu kama alivyosema
NEWS: HOSTELI ZA CHUO CHA U-DSM ZAGEUZWA KUWA KARANTINI
Serikali imetangaza rasmi kwamba wasafiri wote kutoka nchi za nje zilizoathirika na ugonjwa wa Corona watalazimika kukaa karantini kwa muda wa siku 14 katika hosteli za Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ma