- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: LISSU APINGWA KOMBORA TLS
DAR ES SALAAM: CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimeitisha mkutano wa dharura kwa wanachama wake, kujadili hatima yao baada ya kuanzishwa kwa Bodi ya Usajili ya Wanasheria nchini.Rais wa TLS, Tu
MAGAZETI: TUMEKUWEKEA MAGAZETI YOTE YA LEO TAREHE 1 JULY 2017
Haya ni magazeti ya Leo siku ya Juma mosi Tarehe 1 july 2017,
NEWS: MAJAMBAZI WANNE WAUAWA KIBITI
PWANI: Jeshil la Polisi limeua Watu wanne wanaozaniwa kuwa ni majambazi kwenye kijiji cha Pagae , Kibiti Mkoani Pwani Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya Habari na DCP Lebaratus Sabas Mkuu wa Opereshi
NEWS: SERIKALI KUIBUA VIPAJI KWA VIJANA
DODOMA: SERIKALI imesema katika jitihada za kuleta maendeleo endelevu ya mchezo wa riadha na michezo yote kwa ujumla inakamilisha mapitio ya sera ya maendeleo ya michezo ya mwaka 1995 ili kuhakikisha
NEWS: SERIKALI YAUNDA KAMATI KUCHUNGUZA UBADHILIFU WA FEDHA ZA UMMA
DODOMA: OFISI ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) imesema itatuma timu maalum wiki ijayo kwenda kufanya uchunguzi wa haraka kufuatia kuwepo na harufu ya ubadhirifu wa fedha za umma
NEWS: SPIKA WA BUNGE AWATISHIA WABUNGE
DODOMA: SPIKA wa bunge JOB NDUGAI amewahakikishia wabunge kuwa bunge sio dhaifu na kuwataka kujenga utamaduni wa kila mmoja kuheshimu mawazo ya mtu mwingine hata kama mawazo hayo hayawafurahishi.Spika
NEWS: MWANAMKE ABAKWA SIKU YA HARUSI YAKE
KENYA: Wakati Terry Gobanga, wakati huo akiitwa Terry Apudo alipotoweka katika harusi yake hakuna mtu aliyedhani kwamba alitekwa nyara ,kubakwa na kutuwa kandakando ya barabara akipigania uhai.Lilikuw
NEWS: KIINI CHA MAUAJI YA KIBITI KUJULIKANA LEO
DAR ES SALAAM: NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, leo anatarajia kukutana na maofisa wa ngazi ya juu wa Jeshi la Polisi nchini, kujadili na kuweka mikakati ya kudhibiti matukio ya
NEWS: SERIKALI YATOA SIKU 7 WALIMU KUPEWA POSHO
DODOMA: SERIKALI imetoa siku saba kwa ajili ya halmashauri zote kuhakikisha walimu wa hesabu, sayansi na wataalamu wa maabara waliopangwa hivi karibuni wanapewa posho za kujikimu.Waziri wa Nchi, Ofisi
UTAFITI: NAMNA YA KUTAMBUA TABIA YA MTU
Hakuna anayependa kusahihishwa, kugombana au kukemewa mbele za watu, hii ndiyo tabia ya watu wajeuri na walio na tabia za kitukutu. Mara nyingine hudhani wanapata sifa. Wako watu wa jinsi hii ambao ha