- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: JUMBA REFU DUBAI LATEKETEA KWA MOTO
DUBAI: Moto mkubwa umelichoma mojawapo ya jumba refu duniani Torch Tower huko Dubai UAE kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka miwili.Picha zilizowekwa katika mitandao ya kijamii zilionyesha moto h
NEWS: MBUNGE AONYWA KUHUBIRI SIASA CHONGANISHI KANISANI
ARUSHA:ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT ) Kanda ya Kaskazini Kati, Solomoni Masangwa amemuonya mbunge wa Siha, Godwin Mollel (Chadema) kuacha kuhubiri siasa chonganishi kanisa
NEWS: MAGUFULI: NEEMA YAJA TANZANIA
TANGA: RAIS John Magufuli amesema amedhamiria kwa dhati kuleta maendeleo nchini, kupitia uwekezaji na uzalishaji mali katika uchumi wa viwanda; na pia amedhamiria kuufungua kiuchumi Mkoa wa Tanga.Amew
MAGAZETI: TUMEKUSOGEZEA MAGAZETI YOTE YA LEO IJUMAA TAREHE 4 AUGUST 201...
Good Morning muakilishili wetu kokote ulipo leo ni siku ya Ijumaa ya tarehe 4 ya mwezi 8 2017 tumekosogezea magazeti yote hapa,
NEWS: JAFO: ''HILI NI DAMPO LA MFANO''
DODOMA: Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo ameipongeza Manispaa ya Dodoma kwa usimamizi mzuri wa miradi inayo tekelezwa na Ofisi ya Rais Tamisemi katika Manispaa hiyo ikiwemo kufaniki
SPORT: WAFAHAM WACHEZAJI WANAOTAJWA KURITHI NAFASI YA NEYMAR BARCELONA
Hispania: Neymar anaingia kwenye historia ya kabumbu Duniani baada ya uhamisho unaotarajiwa kuvunja rekodi ya Dunia ya euro 222, hoja ni baada ya mchezaji huyo kuondoka nani ataziba pengo hilo ndani y
NEWS: ELIMU YA TAWA YAONGEZA TEMBO
DODOMA: MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyama pori (TAWA) imeeleza kuwa kwa sasa hali ya ujangili wa wanyama poli umepungua kwa kiasi kikubwa na kusababisha tembo kuongezeka katika hifadhi mbalimbali za wan
NEWS: MAGDALENA SAKAYA" VIKAO VYA MAALIM SEIF NI KAMA VYA KICHENI PATI"
Urambo: Mbunge wa Urambo na Naibu katibu mkuu Taifa wa chama cha Cuf Magdalena Sakaya amesema kuwa hatambua uwamuzi uliofanywa na Maalim seif na watu wake kwa sababu yeye kama Maalim Seif ni katibu mk
UTAFITI: IDADI YA WATU WALIO NA UPOFU KUONGEZEKA DUNIANI
Ripoti mpya imesema idadi ya watu wanaopata upofu duniani kote inaweza kuongezeka mara tatu. Utafiti uliochapishwa kwenye Lancet ambalo ni jarida la afya linaloangalia afya ya dunia linatabiri watu wa
DODOMA: LICHA ya kutakiwa kuwepo kwa maandalizi mapema ya maoneshi ya wakulima Nanenane, lakini maoneshi hayo kanda ya kati yameonekana kudolola.Hali ya mdololo imeoneshwa zaidi na halmashauri ya Cham