- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
SPORT NEWS: NIYONZIMA: '' SIYO RAHISI KUTOKA YANGA KWENDA SIMBA''
DAR ES SALAAM: Kiungo wa kimataifa wa Klabu ya Simba Haruna Niyonzima amefunguka na kudai haikuwa jambo rahisi kwa yeye kutoka Yanga kwenda kuchezea Simba ila anamshukuru Mungu kwa kuwa yeye ndiyo mp
NEWS: AUAWA KWA KUKATWA SHINGO NA KICHWA KUCHOMWA MOTO
DODOMA: MTU mmoja Mariam Said mwenye umri wa miaka 17 ambaye ni mkazi wa Kigoma ambaye alikuwa akiishi kitongoji cha Chang’ombe kilichopo kijiji cha Chamwino Ikulu wilayani Chamwino mkoani hapa am
NEWS: ODINGA: MITAMBO YA TUME YA UCHANGUZI KENYA ILIDUKULIWA
KENYA: Mgombea urais wa muungano wa upinzani Nasa Raila Odinga amewaambia wanahabari kwamba wamepata habari kwamba mitambo ya Tume ya Uchaguzi IEBC ilidukuliwa na matokeo halisi kufanyiwa ukarabati.IE
NEWS: KAULI YA ACT WAZALENDO BAADA YA RAIS KUAMURU HAKIMU AHAMISHWE
Chama cha ACT Wazalendo kimeshtushwa na kauli (amri) ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndugu John Pombe Magufuli aliyoitoa hivi karibuni akiwa Mkoani Tanga ya kutaka Hakimu wa Mahakama ya Mw
BURUDANI: NUH MZIWANDA : ''SITAKI TENA WANAWAKE''
DAR ES SALAAM: Msanii wa bongo fleva, Nuh Mziwanda amefunguka na kudai hataki kusikia tena habari za wanawake kwa sasa kwa kuwa yeye ni 'single boy'. Mziwanda ameeleza hayo kupitia kipindi cha 5seleK
NEWS: SHIRIKA LA ACTION AID LASHUSHA NEEMA KWA WANAWAKE
DODOMA: Wanawake nchini wamelipongeza shirika la Action aid kwa kuwajengea uwezo wa kupata elimu hasa wanawake wa vijijini ambayo imewasadia kujiamini katika shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo hak
NEWS: MWANAMUME AKAMATWA AKISAFIRISHA MIKONO YA BINADAMU
CHINA: Maafisa wa usalama kusini magharibi mwa China walipigwa na butwaa hivi majuzi walipogundua mwanamume mmoja alikuwa akisafirisha mikono miwili ya binadamu. Kwa mujibu wa Pear Video, mzee wa mi
NEWS: WADAU WAKUNA KICHWA KUONGEZA UFAULU SAYANSI
DAR ES SALAAM: KUENDELEA kusuasua kwa maendeleo na ufaulu katika masomo ya Hisabati na Sayansi, kumewafanya wadau mbalimbali kushirikiana na kutafuta namna ambavyo wanaweza kuongeza ufaulu katika maso
NEWS: KILIMO BADO KINARA KUCHANGIA PATO LA TAIFA
MBEYA: LICHA ya sekta ya madini kutajwa kuwa kinara katika uchangiaji wa Pato la Taifa, serikali imesema sekta ya kilimo inapaswa kushika namba moja kutokana na kuhusisha watu wengi kwenye uzalishaji
NEWS: KUBENEA SIRI ZITO NA BAWACHA
DAR ES SALAAM: MBUNGE wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amewataka viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), jimbo la Ubungo, kukitetea na kulinda chama chao kwa gharama yeyote ile kwa kuwa