- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAGDALENA SAKAYA" VIKAO VYA MAALIM SEIF NI KAMA VYA KICHENI PATI"
Urambo: Mbunge wa Urambo na Naibu katibu mkuu Taifa wa chama cha Cuf Magdalena Sakaya amesema kuwa hatambua uwamuzi uliofanywa na Maalim seif na watu wake kwa sababu yeye kama Maalim Seif ni katibu mkuu Taifa, na katibu mkuu hana mamlaka ya kumvua uwanachama mtu. ameyasema hayo leo 3 July asubuhi alipohojiwa kwa njia ya sim na kipindi cha Power breakfast kinachorushwa na Redio ya Cloudsfm,
"kutokana na katiba ya CUF Baraza kuu la Uwongozi Taifa ambalo kimsingi linaongozwa na Mwenyekiti (Prof. Ibrahim Lipumba) ndio lenye mamlaka ya kunivua uwanachama na kama hayupo Mwenyekiti atamu assign Katibu mkuu au Naibu wake ambaye ndio mimi , yeye Maalim Seif anamalaka kwenye kamati tendaji Taifa.
Hii imekuja baada ya chama cha CUF(Maalim Seif) kuwavua uwanachama wabuge wa wili Magdalena Sakaya na Maftah kachuma
Magdalena alipoulizwa uhalali wa vikao anavyofanya Maalim Seif alisema kuwa kwanza anamtambua Seif kama katibu mkuu wake lakini vikao anavyofanya yeye ni kama vya kicheni pati " kwanza yule ni katibu mkuu wangu wa Cuf lakini vikao anavyofanya ni kama vya kicheni pati mi sing'oki "