- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: RAIS TRUMP ACHUKIZWA NA TUHUMA ZA COMEY
MAREKANI: Rais Trump pamoja na timu yake wamejibu vikali dhidi ya tuhuma zilizotolewa na aliyekuwa mkurugenzi wa FBI ,kuwa rais Trump alimtaka kuacha kumchunguza mshauri wa zamani wa masuala ya usala
MAGAZETI: SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 9 JUNE 2017
Miongoni mwa habari zilizopo katika magazeti ya leo ijumaa juni 9 ni pamoja na ni bajeti ya wananchi, hajipata kutokea na katika michezo YANGA yaifuata SIMBA
NEWS: MPANGO: NCHINI AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI NZURI
DODOMA: WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema kwa sasa nchini kuna akiba nzuri ya fedha za kigeni.Ameyasema hayo jana bungeni mjini hapa wakati akiwasilisha taarifa ya hali ya uchumi Ta
NEWS: RAIS MPYA WA UFARANSA EMMANUEL MACRON KUIZULU MOROCCO
Paris: Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anatarajiwa kuwa mgeni wa Morocco mnamo Tarehe 14 mwaka huu, Morocco inakuwa ni nchi ya kwanza ya Kiarabu ambayo rais wa Ufaransa anatazamia kuzuru tangu kucha
NEWS: MWENYEKITI WA KIJIJI ATEKWA NA WATU WASIOJULIKANA HUKU MWINGINE AOKOTWA MT...
PWANI: Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kati, wilaya ya Ikwiriri mkoa wa PWANI Athuman Mtoteka anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake. Mwenyekiti huyo ambaye anawakilisha cha
BUGE NEWS: KAMA ULIKOSA HOTUBA YA UWASILISHWAJI WA BAJET KWA MWAKA 2017/2018
Dodoma: Fatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka bungeni ikiwa leo ni uwasilishwaji wa bajeti ya serekali kwa mwaka 2017/2018
NEWS: MBUNGE AILALAMIKIA SERIKALI HALI NGUMU YA MAISHA
DODOMA: MBUNGE wa Mtambile,MASOUD ABDALLAH SALIM,amelihoji Bunge kuwa lina mkakati gani wa kuboresha maisha ya watanzania kutokana na wananchi kuwa na hali duni kimaisha kutokana na mzunguko wa fedha
BUGE NEWS: "ZIFAHAM SABABU ZA VITU KUPANDA BEI NCHINI" WAZIRI MPANGO ANAELEZA
Dar es salaam: Waziri wa fedha na mipango Dr. Philipo mpango leo amefafanua sababu ya kupanda kwa mfumuko wa Bei hapa nchini ambapo alitaja sababu kama Uwepo wa ukame katika maeneo ya ukanda wa Afrika
NEWS:NCHEMBA AVIWAKIA VYAMA VYA SIASA
DODOMA: WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya nchi,MWIGULU NCHEMBA amevitaka Vyama vyote vya siasa nchini kufuata taratibu pale vinapotaka kufanya mikutano ya hadhara.Waziri NCHEMBA ametoa kauli hiyo leo,Bungen
NEWS: SAMIA SERIKALI HAITATOA CHAKULA KWA WANANCHI WAVIVU
MUSOMA: MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema kamwe Serikali haitagawa chakula kwa wananchi wavivu ambao hawataki kufanya kazi na kusubiri chakula kutoka serikalini. Alitoa kauli hiyo wakati aki