- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MPANGO: NCHINI AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI NZURI
DODOMA: WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema kwa sasa nchini kuna akiba nzuri ya fedha za kigeni.
Ameyasema hayo jana bungeni mjini hapa wakati akiwasilisha taarifa ya hali ya uchumi Tanzania.
Amesema hadi kufika Desemba 2016 akiba ya fedha za kigeni ilifika dola za Marekani milioni 4,325.6 ikilinganishwa na dola milioni 4, 093.7 Desemba 2015.
Kiasi hicho kilikuwa kinaweza kulipia gharama za bidhaa toka nje kwa miezi 4.2. Kufikia Machi 2017, akiba ya fedha za kigeni ilifikia dola za Marekani milioni 4,482.6, kiasi ambacho kinatosha kuagiza bidhaa toka nje kwa miezi 4.3 Kuongezeka kwa akiba ya fedha za kigeni kumesaidia kurejesha utengamavu wa wa thamani ya Shilingi.
Katika kipindi cha mwaka 2016, Mwenendo wa thamani ya Shilingi ya Tanzania DHIDI YA DOLA YA Marekani umekuwa wa