November 23, 2024, 9:54 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAZIRI AMTUMBUA MKURUNGEZI UWANJA WA KIA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi & Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA) Mhandisi Martin Kinyamagoha.
Katika Taarifa ya Waziri iliyotolewa jana Juni 10, 2020 imeeleza utenguzi huo unatokana na Kinyamagoha kutotimiza majukumu yake kazini.
Waziri Kamwelwe amesema kuwa pamoja na kutengua uteuzi wake Mhandizi Kinyamagoha atarudi kwenye nafasi yake ya hapo awali yakuwa Ukurugenzi wa Ufundi na Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa ya Kilimanjaro KIA.