- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WATU 12 WAFARIKI KWA MVUA JIJINI DAR
Mkuu wa mkoa wa Jiji la Dar es Salaam Abubakar Kunenge ameelezea madhara yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katikati mwa jijini hilo hadi sasa.
Bw. Kunenge amesema kuwa moja ya madhara makubwa nikuwa na vifo 12 vilivyotokana na mvua hizo, huku zaidi ya watu 400 wameachwa bila makazi.
"Jiji letu lilipata mvua kubwa Octoba 13 na kuleta athari ikiwemo vifo 12, Ilala 8 na Kinondoni 4, nyumba 800 zimeingiliwa na maji, nyumba 107 zimechukuliwa na maji na Wananchi 480 wamekosa mahali pa kukaa, maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Kisutu, Chakula Bora, Tupendane, Barafu, Kisiwani nk, kwa ujumla Jiji lote lilipata athari mbalimbali kutokana na mafuriko" RC Kunenge.