Home | Terms & Conditions | Help

November 23, 2024, 6:55 pm

NEWS: WALICHAGULIWA KIDATO CHA TANO KUINGIA JULAI 7

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza kuwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano (2020), wataanza masomo 20/7/2020.

Kwa mujibu wa Taarifa ya Wizara hiyo iliyotolewa Leo Juni 26, 2020 imesema kuwa wanafunzi wa Kidato cha 5 watakaoripoti 29/6/2020 ni waliokuwa kidato cha 5 wakati shule zinafungwa mwezi Machi mwaka huu.