- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAITARA AWATAKA WAMILIKI WA MABASI KUREJESHA FEDHA KWA ABIRIA.
Waitara amesisitiza kuwa basi lolote litakalo ongeza nauli kwa kipindi hiki litapigwa faini kwa mujibu wa sheria.
Kauli hiyo ameitoa hii leo asubuhi baada ya kutembelea stendi ya mabasi ya Nyegezi jijini Mwanza ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kuangalia namna ambavyo Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Nchini (LATRA) inavyodhibiti ongezeko la Nauli kwa usafiri huo katika Msimu wa sikukuu.
Kama utakubuka wiki hii Desemba 21, 2021 Waitara alianzia ziara yake stendi kuu ya mabasi ya Mbezi jijini Dar es salaam na akarejea tena jana stendi Kuu ya Mabasi ya Mbezi kuzungumza na abiria kuhusu changamoto mbalimbali za usafiri wa mabasi na Kusema kuwa Serikali itatoza faini ya Tsh. laki 5 kwa mabasi yote yatakayoongeza nauli.