Home | Terms & Conditions | Help

November 23, 2024, 5:17 pm

NEWS: WABUNGE WAJIUZULU KUFUATIA MLIPUKO LEBANON

Wabunge wa chama cha wakristo cha Christian Kataeb nchini Lebanon wamejiuzulu nafasi zao za ubunge baaada ya kutokea kwa mlipu uliogharimu maisha ya watu 135 na zaidi ya majeruhi 5,000 katika bandari ya Beirut nchini humo.

Mwenyekiti wa chama hicho Sami Gemayel amesema wabunge hao wamejiondoa kutoka kwenye bunge hilo la wabunge 128 ili kupigania nchi wanayoitaka isiyobagua baina wa watu wa Lebanon.

Gemayel amesema hayo kwenye maziko ya katibu wa chama hicho aliyekufa kutokana na mlipuko wa jumanne iliyopita. Chama cha Kataeb kilikuwa na wabunge watatu