Home | Terms & Conditions | Help

December 3, 2024, 8:37 pm

NEWS: UNAWEZA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA 6 MWAKA 2022

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo siku ya Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani wa kidato cha sita na huku Baraz likisema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87.

Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amemteja Catherine Alphonce Mwakasege kutoka shule ya St.Mary's Mazinde Juu Tanga kuwa kinara wa matokeo hayo katika masomo ya sayansi mchepuo wa PCB.

Shule 10 bora matokeo kidato cha sita 2022 hizi hapa

Nafasi ya pili imechukuliwa na Lucy E Magashi kutoka shule ya St. Mary's Mazinde Juu Tanga kutoka PCB. Muhewa Charles Kamando kutoka Tabora Boys, PCB akishika nafasi ya tatu akifuatiwa na Minael Simon Mgonja kutoka St.Mary's Mazinde Juu mkoani Tanga PCB, aliyeshika nafasi ya nne.

Nafasi ya tano imechukuliwa na Norah Eliaza Kidjout kutoka shule ya St.Mary's Mazinde Juu (Tanga) PCB, akifuatiwa na Jennifer Martin Chuwa aliyeshika nafasi ya sita kutoka St Mary's Mazinde Juu, PCB.


Matokeo ya Kidato cha 6unaweza kuangalia