April 5, 2025, 2:27 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: RAIS WA UKRAINE AMEMUOMBA RAIS PUTIN KUKUTANA
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemuomba Rais wa Urusi Vladimir Putin kufanya mazungumzo ya uso kwa uso ili kumaliza vita nchini Ukraine, anasema njia ya ya kumaliza vita mara moja nchini Ukraine ni kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Rais Huyo.
"Hatutaki kuishambulia Urusi na hatupangi kushambulia. Mnataka nini kutoka kwetu? Tokeni kwenye ardhi yetu, ”alisema rais wa Ukraine.
Aliongeza kuwa, akielezea umuhimu wa kufanya mazungumzo mwezi uliopia:
"Njoni tuketi Pamoja. Msiketi umbali wa mita 30, kama alivyofanya wakati rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alipokutana na Putin."
Newest Posts