Sun Apr 06 2025 11:17:01 PM
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: RAIS AMTEUA WAMBURA KUWA KAMANDA MKUU WA POLISI
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Camillus Wambura kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania (IGP). Wambura amepata nafasi hiyo mara baada ya Rais Samia kumpandisha cheo kuwa Kamishna wa Polisi.
Wambura kabla ya alikuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano Julai 20, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus imeeleza kuwa Rais amemteua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe.
Newest Posts