November 23, 2024, 9:42 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MUFTI ZUBERI AAGIZA KUFUNGULIWA KWA MADRASA ZOTE NCHINI
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi ametangaza rasmi kufunguliwa kwa madrasa zote nchini zilizofungwa kutokana na mlipuko wa virusi vya Coorna.
Agizo hilo la mufti limetolewa leo Juni 15, 2020 huku akisema madrasa zote zilizofungwa zifunguliwe na kuanza kutoa huduma kama ilivyo kuwa awali, lakini kwa kuzingatia maelekezo ya wataalam wa afya.
“Madrasa zitakazorudi na kuanza kutoa huduma ni zile zenye wanafunzi ambao umri wao kidogo ni mkubwa, wale wadogo kabisa zitaendelea kufungwa” Amefafanua, Mufti Zuberi.
Aidha amesisitiza madrasa zitakazofunguliwa na kuanza kazi zinatakiwa kuchukua tahadhari zote ambazo zinaelekezwa na Wizara ya Afya nchini.