November 23, 2024, 2:36 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MMILIKI JAMII FORUM AHUKUMIWA KIFUNGU CHA NJEE
Dar es salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jiji i Dar es salaam imemuhukumu mkurugenzi mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo kifungo cha nje cha mwaka mmoja na kutokufanya kosa lolote la kijinai baada ya kupatikana na hatia ya kuzuia askari kutekeleza majukumu yao.
Hukumu hiyo imetolewa hii leo Jumanne Novemba 17, 2020 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Huruma Shaidi, wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili ya kusomwa hukumu
Pia, mahakama hiyo imemuachia huru Micke Mushi baada ya upande wa mashtaka kushindwa kudhibitisha mashtaka dhidi yake.