November 23, 2024, 4:13 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MBARONI KWA KUWAINGIZIA VIDOLE SEHEMU ZA SIRI WATOTO WADOGO
Mwanamke mmoja Irene James (36) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tabora akituhumiwa kuwafanyia unyanyasaji wa kingono kwa kuwaingizia vidole sehemu zao za siri watoto saba wa kike wenye umri kati ya miaka 4 hadi 7 ambao ni watoto wa majirani zake.
Mahakamani imeelezwa kuwa mtuhumiwa huyo aliwatendea makosa hayo watoto hao saba wa majirani zake kwa nyakati tofauti majira ya mchana terehe zisizojulikana kati ya mwezi Januari hadi Julai mwaka huu huko katika Kata ya Kanyenye manispaa ya Tabora.