November 22, 2024, 8:34 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MBARAWA ATOA MAAGIZO KWA WAKALA WA MELI NA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARINI ZANZIBAR
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, nchini Prof. Makame Mbarawa, ameliagiza Shirika la Wakala wa Meli Tanzania (TASAC), na Mamlaka ya Usafiri wa Baharini ya Zanzibar (ZMA), kujadili maeneo ya mashirikiano baina yao ili kuongeza ufanisi na kuondoa malalamiko kwa wateja wao.
Prof. Mbarawa amesema hayo hii leo Desemba 16, 2021 jijini Mwanza, alipofungua mkutano wa 4 wa mashauriano kati ya Watendaji wa Sekta ya Uchukuzi ya Seriali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT), na Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ),