November 23, 2024, 4:24 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MARUFUKU KUFANYA KAMPENI MSIKITINI NA KANISANI
Kamati ya amani na Usalama nchini imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kama njia ya kujipatia kura.
Hayo yamezungumzwa hii leo Septemba 26, 2020 na Mwenyekiti wa kamati ya amani Alhaji Ally Salum na kusema kuwa sio vyema kwasababu wanawakosea waumini wao na kuwalazimisha kuchagua viongozi ambao wanawataka wao.
Naye Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya amani Mchungaji Deorge Fupe ameongeza kuwa madhabahu inatumika katika kuhubiri haki na hiyo haki si yamtu mmoja si vyema kufanya hivyo.