Home | Terms & Conditions | Help

November 24, 2024, 5:19 am

NEWS: MAHAKAMA YATENGUA KIFUNGO CHA RAIS WA FIFA AHMAD AHMAD

Mahakama kuuu ya usuluhishi ya michezo Duniani CAS imetengua adhabu ya aliyekuwa Rais wa CAF Ahmad Ahmad aliyefungiwa kujihusisha na soka na FIFA kutokana na tuhuma mbali mbali zilizokuwa zinamkabili.

Pia Mahakama hiyo imeru Ahmad Ahmad kuendelea na majukumu yake kama Rais wa Shirikisho la soka barani Africa CAF mpaka uchaguzi wa shirikisho hilo utakapofanyika mwenzi wa tatu mwaka huu nchini Morocco

Ahmad alikata Rufaa CAS Kupinga adhabu hiyo ambapo mapitio ya adhabu yameonyesha hakuna tuhuma dhidi yake