November 24, 2024, 9:37 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: KESI YA MASHEIKH WA UAMSHO KUREKEBISHWA HII LEO
Leo Ijumaa Aprili 16 Masheikh wa Uamsho watafikishwa katika Mahakama ya Kisutu pamoja na Mawakili wa pande zote mbili kwa lengo la kurekebisha kasoro ya kisheria iliyojitokeza katika kesi yao No.121 na baada ya hapo siku ya Jumatatu shauri litarudi katika Mahakama Kuu kuendelea na usikilizwaji Mfululizo kama ilivyopangwa hapo awali mpaka Tarehe 28 mwezi 4, 2021.
Washtakiwa hao Wanadaiwa kati ya Januari 2013 na Juni mwaka 2014, washtakiwa hao kwa pamoja walipanga njama ya kutenda makosa kula njama za kusaidia na kuwezesha kufanyika vitendo vya kigaidi.