November 25, 2024, 9:42 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: JAJI KESI YA MBOWE AJITOA BAADA YA KUTUPILIA MBALI MAPINGAMIZI
Dar es salaam. Jaji Kiongozi Mustapha Siyani amejiondoka kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Jaji Sayani ametoa Sababu ya kujitoa kusikiliza kesi hiyo kuwa ni kutokana na majukumu aliyoyanayo kwa sasa kama Jaji kiongozi ambayo ameona yanaweza kumfanya ashindwe kuendesha kesi kwa haraka.
Jaji Sayani aliteuliwa na Rais Samia Hassan kuwa jaji kiongozi wa Tanzania akichukua nafasi ya Jaji Feleshi ambaye aliteuliwa kuwa Mwanasheria mkuu wa Tanzania.
Uamuzi wa kujiondoa kusikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 16/2021, ameutoa leo Jumatano Oktoba 21, 2021