- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: GARI LAND CRUISER LATUMBUKIA KWENYE BAHARI DAR
Dar es Salaam. Katika hali isiyo yabkawaida, Gari aina ya Toyota Land Cruiser Prado limetumbukia katika Bahari ya Hindi upande wa Tanzania Jijini Dar es salaam katika eneo la ufukwe wa Coco beach.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai ameieleza leo Jumanne Oktoba 5,2021 kwamba hakuna madhara yoyote yaliyotokana na ajali hiyo baada ya mtu huyo kuokolewa na wananchi waliokuwa karibu na wanasubiri afya ya Dereva iimarike ili wafanye uchunguzi wa tukio hilo kwa kuwa dalili zinaonyesha alikuwa ni mtu mwenye mawazo au tatizo la akili.
"Kule alipokuwa anakwenda kulikuwa hakuna barabara, kama mtu ni mzima huwezi kuona gari linakwenda baharini na wewe ukazidi kukanyaga mafuta," amesema Kingai.