- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: DC IRINGA AOMBA RADHI KWA KUTOA LUGHA CHAFU
Iringa. Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela ameomba radhi kwa umma kufuatia kipande cha video kilichosambaa kikimuonesha akitoa lugha isio na staha mbele ya waandishi wa habari kwa mtu anayeamika kuwa ni dereva wa bajaji katika eneo hiko.
Mkuu huyo wa Wilaya alitoa kauli hiyo Chafu jana wakati akijaribu kutatua tatizo la mgomo wa bajaji Katika wilaya hiyo.
Bw. Kasesela amesema kuwa alikuwa ameghafilika na alipandwa na hasira kwahiyo ameomba radhi kwa Jamii ya watanzania na wote waliochukizwa na matamshi yale.
Kasesela amesema kuwa alijikuta anatoa matamshi yale kulingana na mazingira ya pale kwasababu wako watu walikuwa pia wanamtukana na wengine wanasema yao.